CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
Haya mambo yalijadiliwa yakaeleweka lakini huyu jamaa kayaleta tena; kasome nyuzi za zamani utapata majibu hacha kukulupuka
 
Riz@ nikusaidie kidogo kuelewa:
Chuo cha St. Urban University, Rome, ambacho huchukua wahitimu kutoka vyuo mbalimbali duniani, wanafunzi kutoka vyuo shiriki hasa Seminary huwa kama ifuatavyo:
Vyuo vingi nchini Tanzania kama Kipalapala Major Serinary, Peramiho Major Seminary, Segerea Major Seminary na sasa Morogoro Religious Major Seminary baadhi ya wanafunzi huchukua kozi za moja kwa moja na kufanyia mitihani ya St. Urban University, Rome na kupata shahada za awali, na waendapo huku ni kudeal na PHD tu.

St. Urban University, Rome mfumo wake wa elimu si kama Chuo cha kibongo mlimani au Dodoma Univ. Kule Rome mtu akianza kupiga mbizi kama hakatishi ataendelea hadi kieleweke kupata PHD, si kama bongo, wale jamaa wana mfumo wao.

Kwa taarifa tu kujiunga na chuo kile kuna qualifying test, hata kama una PHD za Marekani au wapi lazima upige hiyo qualifying test yao kupima uwezo wako. Pale haingii mtu kwa kuangalia sura au anatoka wapi ila bongo lifanye kazi. Ujue ni chuo pekee duniani kutoka mataifa yote na hivyo anayetia mguu pale ujue amechujwa vya kutosha.

Asante kwa ufafanuzi.
 
hakuna haja ya kutokwa na povu hii thread ni mpya jf kuna members wapya wanaitaji mijadala kama wewe ulijadili siku nyingi kaa pembeni waachie members wapya hii ndio maana ya forums...halafu nikukumbushe acha kulia lia jf sio mali ya chadema.

mkuu ritz,posho mnalipwaga sh ngapi?hapo lumumba mwambieni nape aongeze la sivyo mtaendeleza mataputapu tu!!
 
Hapa Dr Slaa alivyokuwa mbunge hana BA wala MA lakini ana PhD JF Daima...:peace:
Kuna Maprofesa wangu wa Elimu walikuwa walimu wa primary darasa la nane wamejiendeleza hadi kupata Phd zao. Namkumbuka mmojawapo ni Prof Mmari anaheshimiwa sana kwanye fani ya Hisabati.

Hoja ya vyeti imechuja sana kutokana na upuuzi wa Nape na Rizwan kuhusu Mnyika. Sasa mheshimiwa sana Ritz umeanzisha ya kumhusu Dr. Slaa. Mbona wewe hutundiki yako hapa jamvini.

MTU MZIMA RITZ HOVYOO
 
HATA CC MEMBA WAPYA tunajua tunachofanya na tunawajua vizuri hawa kin a slss na sugu na ukweli na ubora wa mioyo yao wewe ritz una akili nyepesi angalia unaishia kuwajadili watu na sio wanayofanya na pia unatumia ulaghai.....fffff
Hakuna haja ya kutokwa na povu hii thread ni mpya JF kuna members wapya wanaitaji mijadala kama wewe ulijadili siku nyingi kaa pembeni waachie members wapya hii ndio maana ya forums...halafu nikukumbushe acha kulia lia JF sio mali ya Chadema.
 
Riz@ nikusaidie kidogo kuelewa:
Chuo cha St. Urban University, Rome, ambacho huchukua wahitimu kutoka vyuo mbalimbali duniani, wanafunzi kutoka vyuo shiriki hasa Seminary huwa kama ifuatavyo:
Vyuo vingi nchini Tanzania kama Kipalapala Major Serinary, Peramiho Major Seminary, Segerea Major Seminary na sasa Morogoro Religious Major Seminary baadhi ya wanafunzi huchukua kozi za moja kwa moja na kufanyia mitihani ya St. Urban University, Rome na kupata shahada za awali, na waendapo huku ni kudeal na PHD tu.

St. Urban University, Rome mfumo wake wa elimu si kama Chuo cha kibongo mlimani au Dodoma Univ. Kule Rome mtu akianza kupiga mbizi kama hakatishi ataendelea hadi kieleweke kupata PHD, si kama bongo, wale jamaa wana mfumo wao.

Kwa taarifa tu kujiunga na chuo kile kuna qualifying test, hata kama una PHD za Marekani au wapi lazima upige hiyo qualifying test yao kupima uwezo wako. Pale haingii mtu kwa kuangalia sura au anatoka wapi ila bongo lifanye kazi. Ujue ni chuo pekee duniani kutoka mataifa yote na hivyo anayetia mguu pale ujue amechujwa vya kutosha.
Asante kwa ufafanuzi.

Kwa nyongeza maximum umri wa kupokelewa pale ni 40 years old, zaidi ya hap hakuna ruksa. Wanataka wale ambao bado damu inachemka kichwani wanaoweza kukimbizana na mikikimikiki ya pilikapilika za vyuoni. Maana yake anayeweza kupokelewa hakikisha si zaidi ya umri huo, zaidi sana wenye umri 35 na chini yake ndio wanaopokeleza zaidi.
 
mtu akimaliza Kidato cha sita huwa anaenda kufanya Degree ukikuta mtu anarudia kufanya Certificate jua Form six marks hazikutosha, Halaf anamaliza certifacate anaenda kufanya PHD moja kwa moja bila ya kuwa na Diploma,Bachelor degree wala Masters.Hongera 'dokta' Slaa! Huyu babu atakuwa alilamba Div.4 form six ndo akavamia Boya la certificate ili ajiokoe!
 
ukipiga 4 kaka form 6 unaweza soma ya baadhi fani ngazi ya diploma huyu atakuwa alikula zero.
 
Angalia uwezo wake si vyeti. Kuna watu wana vyeti ni bure kusoma ni kuelimika si madaraja mkuu
 
alafu kwanini hatuwi wajenga hoja yani mtu akileta uzi abt CHADEMA hapa inakuwa issue kwani hawa viongozi wa CHADEMA ni miungu watu hawawezi kuzingua ebu tuache ushabiki tuzungumzie ukweli jamaa kaleta uzi wake hapa tuangalie mapungufu tumkosoe kutokana na tunavyojua siye vyanzo vyetu siyo kupinga tu ina maana ipo siku tutakuja ambiwa jambo la msingi tukakanusha kisa viongozi wa chadema hawakosei.
 
Mkui hapa hakuna hoja, ni uelewa hafifu wa mtoa hoja.

Hv kwa nn watu wengi wanaogopa wakisia Ph.D?

In simple words, ur trained to be professional researcher.

Sent using wireless by wire
 
Kwa kuwa ni Slaa humu JF atatewa hata kwa upuuzi....Huyo Slaa hamna kitu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom