BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
o level alisoma miaka 2?!
Jamani mie ningependa siku nione cv ya ****** nione alivyounga unga mwana
MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu
jambo moja ni dhahiri kwa sisi tuliosoma naye, asingeweza kujiunga muhimbili kwa kuwa alipata division four ya PCB, PIA NILISHANGAA KUSIKIA NI WAZIRI WA ULINZI NA KUJEGA TAIFA WAKATI ALIACHENGA KWENDA JKT WAKATI ULE KWA MUJIBU WA SHERIA. WAKATI FULANI 1990s, UDSM WALIKUJA JUU BAADA YA SERIKALI KUMKOMOA MATIKO MATARE YULE KIONGOZI WAO WA DARUSO AAMBAYE HAKUWA AMEENDA JKT, AKAWA AMEKAMATWA ILI APELEKWE JKT KWA NGUVU, UDSM WAKAJA JUU WAKATAKA NA HUSEIN ALI HASSAN MWINYI ARUDISHWE TOKA UTURUKUI APELEKWE JKT! HAPO DILI LIKAYEYUKA
Mzumbe walikuwepo wengi sana ambao wanazo za Pacific Western University ambacho ni chuo cha online na wala vyeti vyake havitambuliki katika academic world.
Kwa hiyo, sio kwamba wahadhiri wote sio wachakachuaji, wako kibao tu na hasa kwenye hivi vyuo binafsi vilivyoanzishwa. TCU huwa wanafuatilia sana wakati wa kusajiri chuo, baada ya hapo sina hakika kama huwa wanafuatilia tena.
Madudu ya PhD fake za Mzumbe ambako wengine walishapeana mpaka u-Profesa, ziligundulika wakati wa kui-transform Mzumbe from IDM to Mzumbe University.
Kwa nyongeza tu, hata TCU wanapoamua kukagua baadhi ya vyuo, wakuu wa academics kwenye hivyo vyuo huwa wanaficha majina ya baadhi ya wahadhiri kwa kuwa lazima waambatanishe CV na transcript zao ili kuona kama wana-meet minimum requirement za kuwa wahadhiri na ku-verify kama degree zao ni genuine au fake. Kuna uhuni mwingi sana unafanyika na unaweza kushangaa kuna vyuo haviweki wazi orodha ya wahadhiri wake kukwepa hayo madongo. Huko kwenye vyuo vya binafsi mpaka watu wenye bachelor za GPA ya 3.3 wanaibua ajira kama kawa. Tofauti na vyuo kama UD, Muhimbili na SUA ambako lazima uwe na angalau GPA ya 3.8.
Alaa! Hivi ni Raisi gani alivunja JKT?
- Sawa sawa mkuu, balanced na imetulia sana!, labda tuseme mapungufu yake kiuongozi lakini siamini kwamba elimu yake ina utata hata kidogo!
William.
Printing error or purposely TEMPERED:A S cry::sad:
Mhhhhh, ama kweli kua uyaone! Bongo ni tambalale, ukistaajabu ya Dr Nchimbi unaona ya Dr Mwinyi!
Bwana Makame kuwa Mhadhiri haimaanishi kuwa una elimu kubwa. Inategemea ni Uhadhiri wa Chuo gani na Kipi.
MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu