CV ya Anne Makinda na utitiri wa madaraka na Advance Diploma tutasalimika kweli???

Duh, hii imeniacha hoi! Lakini wakuu inawezekana kipindi kile wasomi walikuwa wachache sana, 76 si mchezo wakuu na Diploma!
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV

GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1268.jpg

First Name:
Anna
Middle Name:
Semamba
Last Name:
Makinda
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Njombe Kusini
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 6958,DAR ES SALAAM
Office Phone:
+255 754 465226/+255 784 465226
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
amakinda@parliament.go.tz
Member Status:
Constituency Member
Date of Birth
15 July 1949
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Institute of Development & Management - Morogoro
Administration Course
1971
1975
ADV DIPLOMA
Kilakala Girls' Secondary School(Marian College)
A-Level Education
1969
1970
HIGH SCHOOL
Masasi Girls' Secondary School
O-Level Education
1965
1968
SECONDARY
Peramiho Girls' Middle School
Primary Education
1961
1964
PRIMARY
Uwemba Primary School
Primary Education
1957
1960
PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
-
Regional Commissioner
1995
2000
Ministry of Community Development, Women Affairs and Children
Minister
1990
1995
State,Prime Minister's & First Vice President Office
Coordination of Union Matters
1983
1990
State,Prime Minister's & First Vice President Office
In charge of Central Government Coordination
1983
1990
Tanzania Government
In charge of Information and Broadcasting
1983
1990
State,Prime Minister's & First Vice President Office
Minister
1983
1990
National Bank of Commerce
Board Member
1978
1983
Surveyors Building Contractors Consultants
Board Member
1978
1983
Tanzania Railways Corporation
Board Member
1977
1983
Tanzania Legal Corporation
Board Member
1977
1983
Mbeya Textile Company
Board Member
1977
1983
National Textile Company
Board Member
1976
1983
Tanzania Elimu Supplies
Board Member
1976
1983
The Public Accounts Committee of the Parliament
Member
1975
1983
Tanzania Audit Corporation
Auditor
1975
1976
The Institute of Development Management-Mzumbe
Board Member
1971
1976
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
CCM-Chama Cha Mapinduzi
Member of National Executive Council
1977
Todate
TANU/CCM-Chama Cha Mapinduzi
Ten Cells Leader
1975
1983
TANU
Chairman -Youth League-IDM, Mzumbe
1971
1975
TANU
Chairman -Youth League-Kilakala
1969
1970
TANU
Chairman of Youth League
1965
1968
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description
Years Experience
Acquired Through
JKT
1
Mafinga/Oljoro
Administration
1
Dublin-Ireland
Management
1
CapeTown-South Africa
Political
1
Harare-Zimbambwe







Hon.Hamad Hillal Azza

Special Seat
CCM
Enter your MP name or constituent

event.png

«««July 2012»»»
SunMonTueWedThuFriSat
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031

[TD="class: padding, bgcolor: initial


.. Usijali hiyo ndio sifa ya kuwa Spika kama una zaidi ya hapo hufwai wewe... hata KIFICHO wetu ana Diploma kutoka Mzumbe na yupo mwaka wa 20 hatujalalamika, na hatulalamiki kwa sababu inakuwa rahisi kumpiga chenga kuhusu vifungu katika baraza, sasa tukipata mtu mwerevu itakuwa taabu kupitisha vitu kama mabadiliko ya 10 ya katiba ya Zanzibar.
 
sipendi mtu kuweka vitu hapa kinafiki.Anna Makinda ananiboa sana wabunge wapinzani wanapoomba muongozo kisha anawashushua.lakini kuhusu CV huyu ni kati ya CPA holders wa mwanzo kabisa.kwahiyo muanzisha mada uwe na uhakika na kitu unachoweka humu,mbona hukuweka hiyo CPA kwenye CV.otherwise kamsaidie mkeo kupika vitumbua siyo kuleta umbeya usiokuwa na manufaa.
 
Kupitia uzi huu wakuu nilitaka kumuuliza makinda bunge lina wabunge 300+ ila wanaohudhuria vikao hata 100 hawafiki hasa wabunge wa ccm,angalia mwananchi ya leo uk 17 utaona picha.nimekuwa pia nikifuatilia bunge la uganda,kenya na hata uingereza wabunge kwenye vikao ni wengi,wanabanana kama kwenye hiace,najiuliza huwa hawana dharura kama hawa wa kwetu ?

Mkuu hawa wa kwetu wako lodge wanawashughulikia kina lulu...
 
kwani wangapi wana zaidi ya degree,kwa sababu degree ni equivalent to adv dip......?

Mkuu hiyo Degree ambayo ni equivalent na Adv Diploma ni kama ya ile ya Profesa maji marefu au? For your info there is no equivalence kati ya Degree na Adv Dip... Take it.
 
Unashangaa huyo hadi ganda la Advance Diploma analo kwani hujui wangapi STD 7 wapo kwenye system?
Au niwataje?

Mkuu nakusaidia kutaja huyo wazini ambaye ni STD 7. Ni waziri anayeshughulikia kuomba miongozo ya spika, LUKUVI...
 
Huyu hakutumia CV hiyo hapo juu kufikia alipofikia bali ile CV nyingine ya siri. Namna hii ni hatari hasa kwa taifa letu kuendeshwa na vihiyo au watu watokanao na rushwa za ajabu ajabu au kujipendekeza.
 
Hajawai kuwa marriage wala kuwa na children... Hivi hata kama ungekuwa wewe ungeweka ndani kweli?

huyu mama alisomeshwa shule ya misheni huko songea na ilikua awe mtawa (sista).
lakini kwa bahati mbaya yeye na wenzake wakagoma kuendelea na masomo kwa ajili ya kuwa watawa wakaenda shule ya sekondari ya serikali.
askofu komba wa songea kipindi hicho aliwabembeleza sana lakini katu katu walikataa, akawapa LAANA, thus why yeye na wenzake wengi hawakuolewa wala kupata watoto. mama mmoja alibahatika kuolewa lakini kila mtoto aliozaa alikufa
no wonder hata sasa bunge linamshinda kuongoza.
 
If today 2012 adv Diploma is termed as equivalent to bachelor degree how about those days 1976? it was like PHD.Amejitahidi sana mama kuwa na Cv ya namna hiyo sio sawa na ya Sugu.
 
wadau huyu mama ni cpa holder wa mwanzo kabisa enzi hizo alisoma na kina utouh(cag),cheyo et al
 
Inakuwaje anakuwa board member wa mzumbe wakati bado anasoma hapo hapo chuoni??? Haya ni miongoni mwa maajabu ya dunia.
 
kwani wangapi wana zaidi ya degree,kwa sababu degree ni equivalent to adv dip......?

Miaka ya nyuma kipindi vyuo vikuu vilikuwa viwili kulikuwa kuna vyuo vinavyotoa Ordinary Diploma (2years), Advanced Diploma (3 years) kwahiyo kwa wale waliokuwa wanachukua Advanced Diploma walikuwa wanaweka kama equivalent qualification na degree content zilikuwa almost the same utofauti upo kwenye walimu wanaofundisha katika vyuo hivyo ambao wengi wao waliu walikuwa wameishia kwenye Masters na walikuwa beneficiries wa mikopo kama wanafunzi wa higher learning. Mpaka sasa kama utafanya utafiti utakuta watu wengi waliopata Advanced Diploma wanaruhusiwa kuchukua Masters bila kuwa na degree inategemea pia ufaulu wake kama vipi walikuwa wanakwenda miezi 9 post graduate diploma then Masters. Ninao jamaa wengi walipitia katika mfumo huu japokuwa siku hizi Advance Diploma imeondolewa kwenye vingi na vyote vimekuwa vyuo vikuu ingawa ufundishaji umebadilika wadogo zetu siku hizi wanafundishwa na Tutorial Assistant wakati ma-Prof wanazunguuka huku na kule kwenda kufundisha vyuo binafsi. Kwa stahili hii kama TCU isipokuwa makini vyuo vyetu vikuu wadogo zetu wakimaliza chuo kuna baadhi ya vyuo tukivifanyia assessment utakuta elimu wanayotoa ni chini ya kiwango.
 
If today 2012 adv Diploma is termed as equivalent to bachelor degree how about those days 1976? it was like PHD.Amejitahidi sana mama kuwa na Cv ya namna hiyo sio sawa na ya Sugu.

Quality ya elimu those days ilikuwa juu, unakutana na mtu ana certificate tu ya kilimo au mifugo lakini anajua vitu vingi kama nini tatizo lao ni hawakujiendeleza zaidi tofauti na sasa hasa kuanzia 2008 elimu imebadilika sana Tanzania, wanafunzi wanaweza kuwa course moja ila vyuo tofauti ukikaa nao unakuta kuna ambao wapo fit na kuna ambao unakuta ile course imechakachuliwa kwenye chuo chao nadhani serikali ingejua ingesomesha kwanza watu wengi kwa level ya PHD then ndio ingevipandisha hadhi hivi vyuo, kiukweli tusiende mbali sana aliemaliza degree 2000 uki-compare na aliemaliza 2010 utakuta wana utofauti mkubwa sana
 
Mi sina tatizo na cv yake, najua ni kati ya wasomi wa kwanza tena wa kike. Historia ya uongozi wake imeshiba. Tatizo langu ni kama aliingia bungeni toka miaka mi sijazaliwa na sasa ni mtu mzima lkn leo hii bado ni mbunge na spika sasa sisi zamu yetu lini?
 
Hana shule

Ulitaka awe ana shule gani??? Na wewe una shule gani??? Shule sio uwezo wa kuongoza though shule ni muhimu katika uongozi. Kuna maprofesa wangapi wameshindwa hata kuongoza familia zao??

Mwinyi hakuwa na degree lakini mbona aliongoza vizuri kuliko JK mwenye degree tena ya uchumi???

Shule aliyonayo makinda inatosha sana kuongoza wakina captain komba, maji marefu, mwigulu chemba nk
 
Back
Top Bottom