CV ya Anna Makinda (spika wetu) ni hii HAPA

Status
Not open for further replies.
Hizo sehemu mbili nyekundu, there has to be a mistake - aliwezaje kuwa Board member wakati akiwa mwanafunzi katika chuo hichohicho?

Dah umeona jambo muhimu mkuu. Halafu adv dipl miaka mingapi vile?
 
nasikia Lukuvi nae ndo walewale... masikiiiniiiiii.. ndo maanaaaa....
 
SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level


RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by
mbona hapa blank vipi umesahau kujaza nini ?
 
The biggest problem is education in Tanzania. By education, I don't mean having a degree, but at least having the knowledge to tell right from wrong. Driving in your expensive landcruiser paid for by your allocation of foreign aid to the purchase of the car, blinded to all the abject poverty on the roads, where that AID $ was intended to go. OR flying first class paid for by again the $$ from AID, while, hospitals don't have the equipment, medicines, staff. Not knowing the difference between right or wrong, is being uneducated. Not knowing ethics or being morally irresponsible is being uneducated, illiterate. AND its very difficult to argue with uneducated, illiterate people who are incompetent in the position they hold. They have no skills, no mental capacity to process concepts, information. They can only do what they are told, which is to sustain the status quo, corruption. The apparent contrast in the resumes is so obvious. Mr. Lissu's resume is highly impressive.
 
Hizo sehemu mbili nyekundu, there has to be a mistake - aliwezaje kuwa Board member wakati akiwa mwanafunzi katika chuo hichohicho?

Na wasiwasi pia hii alitunukiwa kwa kuwa board member , Halafu hii shule ya miaka yote hii kuanzia 71/75 mbona ni 5? alinza cheti, diploma, advance diploma?
 
Kwan kipindi hicho A-level ilikuwa inasomwa kwa muda gan? Nisaidien hapo tafadhali
 
Tuache unafiki, mama kaenda shule..hivi mnajua changamoto wanazozipata watoto wa kike na zirudishe nyuma miaka 40 iliyopita afu useme kwa kiwango alichofika mama ni lazima alikuwa mtu makini. Nitajie kiongozi gani ndani ya Bunge haangalii maslahi ya chama chake?! CHADEMA na CCM wote ni vyama vya siasa hakuna kinachopigania maslahi ya wananchi, wote wapo katika kuchukua dola...hili ndo lengo kuu la chama chochote cha siasa duniani.
 
Kama alisoma Administration Course (which I doubt kama Mzumbe walishawahi kutoa kozi ya aina hii)
Je aliwezaje kuwa Mhasibu (Auditor)? Hii CV imechakachuliwa.
magwanda mmekosa kazi ya kufanya baada ya kutolewa kapa bungeni, sasa mmeamua kuvamia CV za watu! naomba mnapojadii CV ya spika wetu mpendwa zingatieni mambo yafuatayo:

1. CV iliyowasilishwa imepitwa na wakati, maana hata mambo ya uspika hayamo; pia ninavyofahamu mimi huyu mama alikuwa mwanafunzi akisomea shahada katika chuo fulani hapa nchini hivyo huenda atakuwa amegraduate mwaka huu

2. kwa kipindi kile inawezekana mtu akawa anasoma na wakati huohuo akiwa bordmember kwa sababu kumbukeni wasomi walikuwa wachache sana kipindi kile, hivyo mtu ilikuwa ukimaliza kidato cha sita tu unapangiwa kazi moja kwa moja

3. kitu muhimuili kumudu uspka ni uadilifu na kuzijua kanuni za bunge; kwa uzoefu wa mama huyu wa kukaa bungeni muda mrefu analimudu bunge vyema, mimi sijayaona makosa yake; tatizo lenu magwanda mnayoyataka ninyi hayawi ndio maana mnapata wivu wa kike wa kuchunguza ya watu kiundani
 
Juzi mwanasheria mkuu wa serikali alimwita spika mhasibu, mbona sioni hiyo sifa ya kuwa mhasibu?
 
Hiyo yawezekana kama alikuwa kiongozi wa wanafunzi pale ambaye kwingi huwa ni Board Member.Hatahivyo,u-Board Member si ajira.Ni uzoevu wa kiuongozi/kazi.Halafu yaonekana alikuwa anasoma masomo kwa njia ya Posta.Hii ni kwakuwa kuna miaka ifananayo ambapo alikuwa mwanafunzi na mfanyakazi.Kweli huyu Kibibi Kilaza!
Hizo sehemu mbili nyekundu, there has to be a mistake - aliwezaje kuwa Board member wakati akiwa mwanafunzi katika chuo hichohicho?
 
Hizo sehemu mbili nyekundu, there has to be a mistake - aliwezaje kuwa Board member wakati akiwa mwanafunzi katika chuo hichohicho?



HATA MIMI NASHANGAA UCHAKACHUAJI AMAEANZA ZAMANI AISEE KILICHOBAKIA NI KALE KADEGREE KAMA ALICHOPEWA MKUU WA KAYA,NAFIKIRI PROFESA PAA LA MAGAMBA SASA AFIKIRIE KUMTUNUKU MAMA KINDA KADEGREE KAMA KA MKUU

au mnaonaje wakuu??
 
ndio maana Bunge linapitisha mambo yasiyofaa, na wanapoinuka wa kuyapinga wanaambiwa ni wahuni. Hata akiletewa mswada wenye mateminology ya kisheria atayajulia wapiii.....?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom