Mfwalamanyambi
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 433
- 102
Aisee kumbe mama kapiga shule ya haja. Kichwa si mchezo.
UDSM wamtunuku kale kadigrii ketu ka udaktari bana.
Awe na kacheo kama ka Prezidaa.
Je umeona shule ipi hapo? au hako ka AD_Dipl.
Aisee kumbe mama kapiga shule ya haja. Kichwa si mchezo.
UDSM wamtunuku kale kadigrii ketu ka udaktari bana.
Awe na kacheo kama ka Prezidaa.
Hizo sehemu mbili nyekundu, there has to be a mistake - aliwezaje kuwa Board member wakati akiwa mwanafunzi katika chuo hichohicho?
Unaweza ukawa umesoma sana,ukawa na vyeti vng sn,lkn ikumbukwe kusoma na kuelimika ni v2 tofauti kabisa
Hizo sehemu mbili nyekundu, there has to be a mistake - aliwezaje kuwa Board member wakati akiwa mwanafunzi katika chuo hichohicho?
Institute of Development & Management - Morogoro | Administration Course | 1971 | 1975 | ADV DIPLOMA |
Kilakala Girls' Secondary School(Marian College) | A-Level Education | 1969 | 1970 | HIGH SCHOOL |
Masasi Girls' Secondary School | O-Level Education | 1965 | 1968 | SECONDARY |
Peramiho Girls' Middle School | Primary Education | 1961 | 1964 | PRIMARY |
Uwemba Primary School | Primary Education | 1957 | 1960 | PRIMARY |
Jamani naomba kuelimishwa maana haya masaburi ya magamba yanatia kichefuchefu.
Hivi mtu KUTEULIWA kuwa BOARD MEMBER wa shirika fulani, hiyo tayari inakuwa
employment opportunity? Kama tuna SPIKA ambaye hawezi kuandika hata CV
yake vizuri, kweli Spika wa aina hii anaweza kusimamia suala nyeti kama la
uandikaji wa katiba mpya?
No wonder Sitta(?)/Msekwa(?) alimshauri at least aende akasome ka-degree
ka sheria. Amejaribu kuijaza nyama CV yake finaly ameishia kuanika masaburi
yake nje. Talk about kuzika kichwa kwenye mchanga .... (Mbuni style).
Anna Makinda alikimbia kufanya mitihani ya bodi ya uhasibu NBAA na wala hawezi kuwa Auditor bila kusajiliwa na NBAA!!!
Salutation Honourable Member picture
First Name: Anne Middle Name: Semamba Last Name: Makinda Member Type: Constituency Member Constituent: Njombe Kusini Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 6958,DAR ES SALAAM Office Phone: +255 754 465226/+255 784 465226 Ext.: Office Fax: Office E-mail: Member Status: Date of Birth
EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Institute of Development & Management - Morogoro Administration Course 1971 1975 ADV DIPLOMA Kilakala Girls' Secondary School(Marian College) A-Level Education 1969 1970 HIGH SCHOOL Masasi Girls' Secondary School O-Level Education 1965 1968 SECONDARY Peramiho Girls' Middle School Primary Education 1961 1964 PRIMARY Uwemba Primary School Primary Education 1957 1960 PRIMARY
CERTIFICATIONS Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From Date To Date - Regional Commissioner 1995 2000 Ministry of Community Development, Women Affairs and Children Minister 1990 1995 State,Prime Minister's & First Vice President Office Coordination of Union Matters 1983 1990 State,Prime Minister's & First Vice President Office In charge of Central Government Coordination 1983 1990 Tanzania Government In charge of Information and Broadcasting 1983 1990 State,Prime Minister's & First Vice President Office Minister 1983 1990 National Bank of Commerce Board Member 1978 1983 Surveyors Building Contractors Consultants Board Member 1978 1983 Tanzania Railways Corporation Board Member 1977 1983 Tanzania Legal Corporation Board Member 1977 1983 Mbeya Textile Company Board Member 1977 1983 National Textile Company Board Member 1976 1983 Tanzania Elimu Supplies Board Member 1976 1983 The Public Accounts Committee of the Parliament Member 1975 1983 Tanzania Audit Corporation Auditor 1975 1976 The Institute of Development Management-Mzumbe Board Member 1971 1976
POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To CCM-Chama Cha Mapinduzi Member of National Executive Council 1977 Todate TANU/CCM-Chama Cha Mapinduzi Ten Cells Leader 1975 1983 TANU Chairman -Youth League-IDM, Mzumbe 1971 1975 TANU Chairman -Youth League-Kilakala 1969 1970 TANU Chairman of Youth League 1965 1968
PUBLICATIONS Description Published Date
SPECIAL SKILLS Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
RECOGNITIONS Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by
pmwasyoke, vingozi wa wanafunzi ni wajumbe wa bodi za vyuo, kwa mujibu wa katiba nyingi za vyuo,Hizo sehemu mbili nyekundu, there has to be a mistake - aliwezaje kuwa Board member wakati akiwa mwanafunzi katika chuo hichohicho?
Chaguzi za chuo zinafanyika baada ya walau temu ya kwanza toka kufungua chuo. Ni aghalabu sana kwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kuwa rais wa serikali ya wanafunzi. Tena kwa kukukumbusha tu baada ya kumaliza form six, alitakiwa kwa mujibu wa sheria kwenda JKT mwaka mmoja. So far angetoka jeshini june,1971. Hivi aliwezaje kuwa rais wa serikali ya wanafunzi IDM akiwa njuka?Labda alikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi/wanachuo hivyo alikuwa board member representing wanachuo.
miaka hiyo ya 75/76, kuwa auditor kulihitaji tuu mtu kuwa na NaboceAnna Makinda alikimbia kufanya mitihani ya bodi ya uhasibu NBAA na wala hawezi kuwa Auditor bila kusajiliwa na NBAA!!!
Kwa sasa ili afanye kazi kama Mwasibu anatakiwa aanze upya mitihani ya Bodi na NBAA ambpo hawezi kufaulu!!!
Conah, unatafuta uchokozi, Lema ni mbunge tuu wa kawaida kama alivyo prof. Maji Marefu, cv yake hata ikiwa nyepesi, its fine, lakini huyu ni mkuu wa mhimili wa dola!.Ningefurahi pamoja na wadau wengine kuona CV ya kamanda wetu Mh.Lema