CUTE piga jalamba.

haya,fasta hebu sema sasa ulisema kwny kikao wanajamvi wakusikie kwamba ushanshamehe,nami nimekusamehe kwa kumnyemelea mke wa MTU CUTE

Mwanangu charminglady naona mwakaribia muafaka, @Sobhuza sema neno Mkwe! Wote mlivinja amri ya 9 ya Mungu! Sameheaneni wanangu
 
Last edited by a moderator:
hajaiona bado

Ataiona akiamka, yaani CUTE, ahsante umenusuru mwanangu kuachwa, hajala tangu jana analia tu kisa @Sobhuza anakumendea, hebu njoo huku nyumbani umsalimie rafiki yako.
 
Last edited by a moderator:
Ataiona akiamka, yaani CUTE, ahsante umenusuru mwanangu kuachwa, hajala tangu jana analia tu kisa @Sobhuza anakumendea, hebu njoo huku nyumbani umsalimie rafiki yako.
usijali ni rafiki yangu sana ivo cwez kumchukulia mchumba wake jamani mm nimemchukua ivuga mana alishaachwa na ilitangazwa hadharani ivo ndio mana nikamchukua mie
nakuja baadae kidogo ngaja nipitie supermarket nimchukulie hata kifuta machozi mana simpatii picha huko aliko
 
ivuga+CUTE=forever
your a very understanding woman i like that kiss*-*
 
For real, she is, saint Ivunga, kweli umepeta mwenza,
anaitwa Saint Ivuga na sio saint ivunga jamani mbona kuniharibia laazizi wangu jina lol! tutake radhi
and yes he got me for real ivo muambie mwanao charminglady asiwe na shaka am not taking sobhunza from her
na pia nilishamuambia anaweza kuja huku kwa mda mana naona huyo kala ban ivo aje huku mm sina tabu
 
mke mwenza CUTE asante, bt nawe umeniharibia jina la mahabuba. anaitwa @sobhuza co sobhunza! BTW mbna hujanambia how do i know kuwa kapigwa ban?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom