kwani babu we unaonaje hali hii?
Nishaona dalili mbaya, kwanza ID ilibadilishwa, afu nikaona mdogo wake Yang Masta anauliziwa...
I ken tek zis noo moo, CUTE popote ulipo, kuna mtu anapoteza jimbo huku.

Mkwe pressure ondoa mwanangu Hana mpango Wa kukuacha!