Customer care ni jeuri au??

Bladerunner

Member
Dec 19, 2008
93
3
Hivi karibuni nilipatwa na mkasa wa kupotelewa na kilongalonga changu!!kutokana na kwamba ilikua ni usiku nikashindwa kufanya sim replacement!!nikapiga simu customer care ili waiblock sim card mpaka asubuhi nitakapofanya replacement(for security purposes!!)maswali niliyouliza na majibu niliyopewa sikuridhika nayo kabisa!!baadhi yake ni
1:je kuna uwezekano wa kudivert all calls ya sim card iliyopotea kwenda kwenye namba yangu nyengine??
Maelezo aliyonipa ni jinsi ya kudivert active sim card ambayo nilikua naitumia kupiga kwa wakati huo!!

2:then nilipochoka na mzunguko wa majibu yake nikamwomba aiblock simcard!!
ninavyojua mimi ni kwamba alitakiwa aniulize maswali ya ku confirm kama kweli mimi ni owner of the lost sim card!!instead hakuuliza hata namba ya sim card iliyo potea!!na simu akakata!!!nikachoka mimi!!
Sasa wakuu hivi hiyo ni jeuri au hawako competitive enough!!au labda ilikua ni siku ya gundu kwangu??
Nitashukuru sana kama mtanisaidia nipate majibu ya hayo maswali na kama kuna wenzangu ambao yamewatokea kama haya sio voda tu hata mitandao mingine,tushauriane ili tujue jinsi ya kuwaepuka watu wa namna hii!!kwani tatizo langu leo kesho kwa mwenzako!!
 
Pole kwa yaliyokukuta naomba kujua ni mtandao gani ulipiga simu tarehe na muda tukio lako na kama huyo mtu alijitambulisha najua kuna baadhi ya wafanyakazi haswa wale wa usiku wanakuwa chakali kisha wanaenda makazini fika mfano breakpoint utakuta watu wako pale wanakunywa maofisi wameacha wazi na ndio hao usiku wa manane wanapokea simu zako
 
Pole kwa yaliyokukuta naomba kujua ni mtandao gani ulipiga simu tarehe na muda tukio lako na kama huyo mtu alijitambulisha najua kuna baadhi ya wafanyakazi haswa wale wa usiku wanakuwa chakali kisha wanaenda makazini fika mfano breakpoint utakuta watu wako pale wanakunywa maofisi wameacha wazi na ndio hao usiku wa manane wanapokea simu zako

ahsante sana!!ilkua ni vodacom!!saa kama saba kasoro usiku wa kuamkia jumapili tarehe 18jan 2009!!Come to think of it "hata hakujitambulisha!!"
 
Last edited:
Hata kama asipojitambulisha system zao huwa zinarekodi maongezi na kufanya backup ukiwa zain unaambiwa kabisa kwamba tunaweza kurekodi mazungumzo yako ila mitandao mengine sijui kama wanatoa taarifa hizo

sasa dada yangu ulishapata utatuzi wa hilo suala lako ? Kama bado unapenda kwenda mbali zaidi kuwasiliana na mtu anayehusika na kitengo hicho if yes nijulishe kabla ya dakika 15 zijazo
 
tOA NO YAKO UTASAIDIWA.....SASA HIVI WATAKUPATAJE ?WAKITAKA KUTAFUTA WHO DID IT WRONG?
 
Back
Top Bottom