Custom-made plate numbers zinaruhusiwa kwenye magari Tanzania??

Mponjoli

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
668
152
Habari wadau

Hivi karibuni nimejionea hapa Dar es salaam watu wanaweka plate namba kwenye magari zina majina yao. Mfano kuna magari yamewekwa jina RICH na majina mengineyo.

Hivi hii inaruhusiwa Tanzania?

Najua Uganda hii kitu inaruhusiwa, Kenya imeruhusiwa ila bado sheria haijaanza kutumika na juzi tu gari ya McDonald Marica wa Parma Italy imekamwatwa Nairobi.

Asanteni
 
Back
Top Bottom