Curtain box at cheap price

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
Je unahitaji curtain box kwa ajili ya nyumba yako?tutakufungia curtain box nzuri na za kisasa kwa garama ya sh. 27,000 per meter for double curtain box and 17,000 per meter for single curtain box,curtain handle pia zipo kwa bei ya sh 15,000 per pair.Kwa wahitaji tutakufungia sample kabla ya kufanya kazi yenyewe.Tupigie 0713876210 or email us;akamanyusi@yahoo.com
 
Jamani mbona hatuko makini kwenye kuhabarishana haswa ktk masuala ya biashara?!
Embu Elezea uko wapi kiofisi,toa mifano ya kazi zako na eleza zile ulizokwisha kuzifanya ikibidi twende tukazione kama hujawahi eleza hakuna jambo lisilokuwa na mwanzo!!
Lakini kwa mtaji huuu!Tutabaki kulalamika biashara zetu hazipendwi zinapendwa za kigeni "BIASHARA MATANGAZO"
Keep it up!
 
Yaa you got BIG point here. Aseme yuko wapi bana
 
Back
Top Bottom