Current news...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Hivi hili neno linaeleweka kweli kwenye baadhi ya TOVUTI za wizara kwenye hii serkali yetu?
Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu kwenye hii sehemu walipoweka eti ni CURRENT NEWS unakuta vitu vivyowekwa hapo ni vya zaidi ya miezi sita nyuma!:A S 13:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom