Culture Music Group na Bi Kidude: Mabalozi wetu ambao serikali haiwajali

Haya unayoyasema wewe, alishauriwa hivyo tangu miaka 30 iliyopita tena wakamwambia aache sigara ingemuua ndani ya miaka mitano tu. Mpaka sasa anadunda na fegi anapiga mtindo mmoja. Na mwaka huu anagombea urais. Kura yangu anayo.

Duh! mwaka huu anagombea uraisi hii ni mpya mkuu,misukosuko na mizunguko ya kampeni je ataihimili lakini?
 
jamani njaa, njaa, njaa, njaa apumzike atakula nini???????!!!!!


Naona hapa bibi kachoka kweli.

b5_zinduka4.jpg


Bi Kidude was born in the village of Mfagimaringo, daughter of a coconut seller in colonial Zanzibar. Her exact age is unknown with any certainty. 'I cannot say that I know myself, but my birth was at the time of the rupee.' (The Indian currency was used throughout East Africa up to the First World War). As a child, she was singled out for her fine voice and, in the 1920s, sang locally with popular cultural troupes, combining an understanding of music with an equally important initiation into traditional medicine.

'Little Granny' of Zanzibar:http://www.retroafric.com/html/sl_notes/012cd_3.html (WWW DOC, VISTED Feb, 5 2010)
 
Duh! mwaka huu anagombea uraisi hii ni mpya mkuu,misukosuko na mizunguko ya kampeni je ataihimili lakini?

Kwa nini azunguke. Hana haja ya kujinadi hata wewe unalijua hilo na umeshampa kura tayari ndio maana hukusema kuwa hafai, bali wasiwasi wako ni misukosuko ma mizunguko ya kampeni. Usijali wewe utafanya hayo yote, yeye kazi yake ni kukubali tumjazie fomu, aweke dole gumba tu kwisha. Urais anao.

Yule pale yule pale yule pale mnamuona
Yule pale yule pale yule pale Bibi Kidude
Kada wa chama chetu, Apewe kura ya ndiooooooo
 
Ngoshwe hapa hakuna aliyechoka, hapa kushoto ni Rais wa sasa akikabidhi mikoba kwa Rais ajaye 2010; Rais Bi Kidude the orijinal.

Tyetyeeeee,,kazi

Labda ni sema makwenyanzi ya sura ..hii yote kule zanziberi twasema ni sababu ya "mijisigara, mijinyama, mijibia"

anyway, mijingambo ya Bi Kidude naona mpka kaburini vile, hawezi hacha ehee!
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=4kP9YsqGHa0"]YouTube- Bi. Kidude live in action (Michuzi Mega Production)[/ame]

Bi Kidude aki-perform majuzi
 
Back
Top Bottom