CUF yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa Arumeru Mashariki

'sisi cuf tumefanya cost benefit analysis ya uchaguzi wa Arumeru tukalinganisha na matokeo ya Igunga tukaona hali ni mbaya! Hivyo cuf tumeamua kujitoa katika kinyang'anyiro hiki kukwepa kushindwa tena vibaya'
 
Ni ishara nzuri kwa cuf kushirikiana na chama cha upinzani tatizo linakuja wana ndoa tayari na ccm ss itakuaje tena waingie ubia na wapinzani?bora wangeweka wazi kuwa watashirikiana na chama chochote hapo tungejua watakua na wanandoa wenzao
 
Hivi hii dhana ya kusema CUF ni chama cha upande mmoja CDM wanapata wapi hoja ya kulitamka na kuishutumu CUF kwa hili?
Mimi naamini kama watu wangekuwa wanatafakari angalau hatua kumi mbele na nyuma basi wasinge post kejeli kwa CUF kama walivyofanya na badala yake wangekuja na hoja za maana kuona kwanini CUF haitasimamisha mgombe Arumeru Mashariki

Tukisema tuzungumzie vyama vyenye sura ya kitaifa zaidi angalau CCM unaweza sema wanajitahidi wakifatiwa na CUF wenye wabunge angalau pande zote za muungano na kisha vilivyobakia ni vyama vya kikanda

CDM ni chama chenye nguvu bara tu, na hakina Diwani, Mwakilishi wala Mbunge toka upande wa pili wa muungano yaani Znz, na uchaguzi mkuu hawakusimamisha nafasi nyingi tu kugombea Znz kulinganisha na CUF walivyofanya Bara na kuambulia viti kadhaa

Ninanchojaribu kikieleza hapa ni kuwa Bara na Zanzibar ni sehemu mbili zilizo ungana na kuleta Tanzania sasa isije upande mmoja wakiwa na chama chenye nguvu kwao na kingine kikiwa hivyo upande mwingine, basi wengine wajione wao ni bora na haki yao kuwa na nguvu upande mmoja kwa kigezo pengine cha wingi wa watu na eneo na kudhara chama kingine kilicho na nguvu upande wapili na kikafanikiwa kupata viti kadhaa upande wa pili

Tujadilini hoja kwa hoja na si kuendekeza udini kwa maneno kama hakuna vibaraghashia nk kama wewe unaona CUF haina chake Bara kumbuka tu kuwa wanao wabunge huku bara na je wewe ambaye sio CCM unakiongozi gani wa kuchaguliwa na wananchi Znz?
TAFAKARI CHUKUA HATUA

they have declared that wao ni ccm, how chama kikibwa kama cuf kisishirik uchaguz, shame on them.... kwel ni chama cha chuki, fitina na uongo
 
Unajaza maandishi meengi kuandika pumba hizi? Zanzibar ni nchi na vyama vyao ni CUF na ASP, NA UKUMBUKE CUF ni muungano wa vyama vya KAMAHURU na chama cha wananchi cha James Mapalala. na CCM ni muungano wa vyama vya TANU na ASP, Je CHADEMA imeungana na chama gani katika nchi ya Zanzibar?
Halafu usisahau unapoiongelea Zanzibar ukumbuke unaongelea sawa na Jimbo la Ubungo tu, wewe ni shahidi juzi tu hapa RAZA ameshinda uwakilishi kwa kura 5000 tu, na mnyika ameshinda Ubunge kwa kura laki ngapi?
 
Alaaaa kumbe.......
Sikujua hapo kabla kuwa CDM ndio ina haki ya kuwa chama cha upande mmoja kwakuwa si muungano wa vyama.

Pia sikujua kuwa kumbe wingi wa kura na ukubwa wa eneo nao ni kigezo siju cha nini
How great sinker you are
 
cuf wanabahati sana wamejitoa arumeru-wangeenda kuaibika huko kwa kupata kura 2 au moja,
kifupi huku bara kwa mkoa kama arusha,cuf hawana chao-naona hili wanalijua ndo maana wameamua kujitoa,
 
Back
Top Bottom