CUF yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa Arumeru Mashariki

wamesoma alama za nyakati. Hongereni sana cuf kwa kuliona hili kwa jicho la tatu!

Mkuu kuna haja ya hongera kweli hapo? Mbona hilo liko obvious hata kwa watoto wadogo? Chuki, Unafiki, na Fitna (CUF) zao vinawamaliza taratibu. Soon watabaki historia.
 
KAFU, kinazidi kupotea kwenye siasa za Tanzania Bara, naomba kukumbushwa hapa Tanzania Bara wana majimbo mangapi??
Halafu huyu Mtatiro juzi si alitangaza kwamba watashinda kwa kishindo jimbo la Arumeru Mashariki imekuaje leo tena wanaamua kujitoa, nadhani mpaka kufika mwaka 2015 hiki chama kitakua hakipo tena hapa Tanzania Bara....
 
kwa kushindwa kuingia Arumeru kafu kwa sababu izi za ajabu,basi sitegemei cuf kusimamisha mgombea yeyote wa ubunge wala urais mwaka2015 uku Tz bara,pia nawashauri pia kutosimama hata zbar kwani historia ya kule uzini itawaandama! asante cuf kwa kujitoa ktk chaguzi,endeleeni ivo.
 
Oh Yeah ni Chama Cha Mrengo Mmoja... sio Chama cha Tanganyika...

Sasa watakisema nini CHADEMA, angalau CHADEMA walishriki uchaguzi UZINI na kushidwa walipata kura 540 kwahiyo kuna Wana Chadema 540 Uzini...

Wataacha kuimba kuwa Chadema Chama Cha Wachagga Sasa??? wao Wamekimbia Arumeru....

unayo komenti nzuri ila uandishi
 
ha ha ha ha ha aise CUF aka chama cha ugomvi na fujo ha ha ha chama cha mtu1 maalim seif dah kweli hamad rashid ulinena ccmb inakufa at the xpense of supporting mume ccm a ha ha ha masikini cufa ndo hivo imebaki histori
 
Mbona walisema uchaguzi wa 2010 huko Uzini, Cuf ilikuwa ya tatu? Inakuwaje wamerudia tena uchaguzi huo mdogo. Ukiwa muongo
lazima uwe na kumbukumbu.
 
​jamani hiki ni kitendo cha kuwapongeza CUF na si kukumbusha migogoro yao na wapinzani
 
wametumia akili tu,arumeru baraghashia hakuna,ingekua kilwa,pangani wangeshiriki
 
...uamuzi wao umezingatia ukweli kuwa hawajafanya jitihada yoyote kuweka mizizi Arusha.
Tunawaomba wafanye hivyo pia ktk uchaguzi mkuu wa rais mwaka 2015.
Kamanda JM Angetamka tu kwamba na vyama vingine vya upinzani viunge mkono chadema chenye wafuasi wengi pale Arumeru,hapo angekuwa amekata mzizi wa fitna na angepanda ktk leadership credibility.Mtatiro[JM] P'SE BE OPEN,WHICH PARTY DO U THINK WILL DEFEAT CCM THERE AT ARUMERU EAST? THEN ANNOUNCE TO SUPPORT IT.HII TABIA YA KULALAMIKA WATZ HAITATUFIKISHA KOKOTE.
 
CUF wanajua hata wakishiriki hawatashinda ubunge Arumeru mashariki... Kimsingi hiki chama kinaelekea kufa; hakikubaliki kwa wananchi..... wanachama wa CUF wenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko nchini kwa kukiondosha madarakani chama cha magamba wajiondoe CUF haraka... Jiungeni na chama cha upinzani kinachokubalika zaidi kwa wananchi.
 
RIP CUF, tulitegemea mtakaa nasi kwa muda, kumbe maisha yenu yalikuwa mafupi mno.
Brother Mtatiro, msiweke pamba masikioni mkafanya yenu na kuweka maamuzi ya waliowaweka pembeni. Kumbuka ni nguvu ya umma ndo inayoamua. Ukiona machozi ya wananchi kulilia haki yao iliyopokwa nanyi mkakubali machozi hayo hayarudi bure, Mungu anayaona sana hayo.

Unaweza kuwa uamuzi wa busara.
 
Back
Top Bottom