Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Tuliopita darasani tunamwita Charityboy ni Jahil MurakkabHii topic yako imekaa ki-Malaria Sugu, Malaria Suguuuu...!
Ninachosikitika ni wewe kuchezea school fees kwenye hiyo shule ya kata halafu unatoka huna kitu kichwani. Huyo Prof Li-Pumba na theories zake anaboreshaje chama? Kwa kuvuta maneno na nyie kuitikia ndiooooo?
Chama cha fujo ni kipi, ni kile chenye matawi yenye majina ya kisharishari ya KOSOVO, TELEBAN, CHECHNIYA na FALUJA?
Kwenye hii riwaya yako umesema CUF imetabiriwa jambo fulani la kipuuzi lkn hujatuambia imetabiriwa na nani manake Sheikh wa Mwembe Chai ni al-marium ama mna mtabiri mwingine?