Cuf yaomba kuwasilisha bajeti kivuli ya upinzani baada ya ile ya chadema kuitwa rubbish

JK ni Dhaifu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

kuwa na nidhamu!umelelewa umekuwa unafurahia maisha ukiwa chn ya serekal hy hy unayohyona dhaif!
Msitawaliwe na siasa kwan mtatumiwa kwa faida ya wanasiasa!
 
Hili ombi linanishangaza! Kwanini wasiombe kuisadia CCM/Serikali kutengeneza Bajeti nzuri? afterall CUF ni Chama mwenza huko Zanzibar?
 
Mimi nilidhani CCM-B imewakilishwa kikamilifu kwenye hii bajeti kumbe wanataka kutoa nyingine tena?
 
Kutokana na mjadala unaoendelea Bungeni juu ya Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012-13, Wabunge wa chama cha wananchi CUF wamemuomba Spika akiruhusu chama hicho kuandaa bajeti kivuli ya upinzani, baada ya ile iliyoandaliwa na Chadema kufananishwa naa rubbish, garbage na takataka kwani imeandaliwa hovyo hovyo na hivyo kukosa hadhi ya kuwa bajeti kivuli. Wabunge hao wamesema Chama chao kinamtalaam namba moja wa uchumi barani Africa na Dunia Prof Lipumba ambaye anaweza kufanya kazi hiyo kwa kushirikiana na wachumi na watalaam wengine wa fani mbalimbali.

Toa maoni yako juu ya ombi hilo la CUF la kuandaa bajeti kivuli baada ya makamanda uchwara kushindwa kufanya hivyo
CUF kwisha kazi,mmeshakua ccm B au munataka kuwasaidia kaka zenu wa ccm A
 
Kisiwandui waliwakilisha kuhusu maoni ya muungano, wanataka muungano upigiwe kura suala ambalo linaonyesha kuwa wao CUF sio CCM - B kwa mambo yote. Tuwape fursa wanaweza kuwa na bajeti mbadala inayoweza kujadiliwa hapa JF na kutufanya tukasonga mbele.
Hawana jipya hao CUF
 
Mke asiye na adabu hawezi kupanga bajeti na mumewe. Hawa jamaa vipi tena. Wavunje ndoa basi.
 
Back
Top Bottom