CUF yamjia juu Edward Lowassa

KAFU bwana wanachekesha badala ya kurudi Igunga wakatafute kwa nini walipata kura 1000 leo wanalia lia na Lowasa .Kwanza who is Lowasa kwenye Nchi hii sasa ?
 
Wametumwa na mme wao ili kuhit upande wa piili wa shilingi ileile...mke wangu ni VUVUZELA,CUF NI VUVUZELA*2
 
CUF angalieni kwa makini wapi mlipokosea.Ukweli upepo hauvumi vizuri upande wenu!Shauri yenu.
 
Pia CUF imesema Bw. Lowassa hana sababu ya kulaumu umaskini wa Watanzania bali ashauriane na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wenzake namna gani waache maslahi binafsi na kutetea Mtanzania mnyonge anayeteseka kwa matendo yao.
 
Wakuu kama nimelewa issue nadhani hapa issue si ndoa wala unyumba ndogo wa CUF bali walichosema kuhusiana na gamba Edward Lowassa. Kuna haja ya kuangalia ukweli au uongo au uzito wa waliyosema. Ni kweli CUF na CCM ni mke na mume. Hili halina mjadala. Hivyo mie naona hili lisingetupotezea muda vinginevyo hoja ijifie. Hoja ya CUF hata kama yaweza kuwa ya kinafiki ina mashiko kuwa Lowassa ni sehemu ya matatizo yanayosababisha umaskini kwa watanzania. Kwa ufupi ni kwamba wanampiga fumbo Lowassa hadi Kikwete kuwa wizi wao ndiyo unasababisha umaskini wetu.
 
Yaani kati ya CDM woote waliochangia humu ndani wewe tu ndio mwenye akili.

Kuna mtu alisema humu..ukiwa unaona kuna mtu anawafata fata sana wana ndoa ... itakuwa anawaonea wivu tu juu ya ustawi wa ndoa yao. Hii ya Pro CDM kufata fata ndoa ya KAFU ni kielelezo kama wanaona wivu.

Hii kusema eti Maalimanapendeza siku hizi na ananyoa ndevu... ni dalili kuwa hawara anamuonea wivu mke alie kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom