CUF yaishauri CCM isiondoke madarakani...

Mimi binafsi ninawaona CUF kuwa waliwekewa tundu lenye mfuniko unaojifunga kwa nje ukiingia na wao wakaingia.

Serikali ya umoja wa kitaifa lilikuwa wazo zuri ila kitendo cha maalim Seif kukubali kutangazwa mshindi wa pili katika uchaguzi alioshinda kilikuwa ni cha usaliti kwa wapiga kura wengi. Wapiga kura wengi leo hii wanamuona kuwa alikuwa ni mtu wa masilahi binafsi na si mtu wa kuwatetea. CUF isingekubali matokeo 2010 leo hii ingekuwa chama imara sana.

Kibaya zaidi kilichowaumiza huku bara ni kitendo cha Maalim Seif kutoa maelekezo kuwa wabunge wa CUF wafanye kazi na CCM badala ya CDM. Hiyo ilikuwa another self inflicted wound. Watanzania wanapigia kura upinzani si kwa sababu ya kuwafanya wapate vyeo vya title bali wanataka kuondokana na CCM labla mambo yao yatakuwa mazuri. Sasa mtu yeyote au chama chochote kinapoondoa imani ya watanzania kuindoa CCM anawakataisha tamaa wananchi na hivyo kuondoa relevancy yake. Ndiyo maana nilipiga mwafaka wa CCM na CDM Arusha. Miafaka ipatikane kwenye sanduku la kura na si kuvuruga taratibu halafu mkae mezani. CUF is almost dead Bara sooner or later It will be dead Zanzibar.

"CUF is almost dead Bara sooner or later it will be dead Zanzibar"?? siyo kweli wala huna data..

Hiyo statement ni maadui wa CUF, bahati mbaya wengi wao ni cdm.

Halafu waliokataa kuwashirikisha wabunge CUF na upinzani ni Mbowe wa chadema vipi tena mkuu walaumu CUF??

Mmeshasahu mara hii?
 
"CUF is almost dead Bara sooner or later it will be dead Zanzibar"?? siyo kweli wala huna data..

Hiyo statement ni maadui wa CUF, bahati mbaya wengi wao ni cdm.

Halafu waliokataa kuwashirikisha wabunge CUF na upinzani ni Mbowe wa chadema vipi tena mkuu walaumu CUF??

Mmeshasahu mara hii?

Mtatiro itakuwa poa sana kama ukimshauri Maalim Seif kugombea urais 2015 :lol:
 
Back
Top Bottom