CUF yafunika Igunga, Shughuli zasimama, Maduka yafungwa, CDM yapata aibu.

Ndugu utakua umelemaa ww? Fikra,mawazo,akili na utashi wa mwanadamu hauko kwenye ulemavu wake,so ukijua hicho inabdi uifute hy post yk

Ila ya chama chochote ndo muongozo,ccm zao 2shazifahamu zinavyoendshwa.watz wachague chama kingne makn na si ccm

Kwa hiyo watu walifunga maduka kwenda kumshangaa Lipumba kwenye gari linalokokotwa na punda au walifuata nini??

Tbr bado iko nyuma sana jamani kusikiliza sera za m2 si tatizo hata kama igunga nzima ikihudhuria what matter ni kura yako imedondokea wapi?

Wewe acha uzushi, umati wote huo unasema hawazidi 1000? Kweli kupenda ni maradhi.

Tatizo unajibu kimihemko, unafahamu namna haraka ya kisayansi ya kuhesabu watu kwenye kundi kama hilo??????? If u know do the counting and prove me wrong and if u don't ni vema ukauliza uelimishwe!

C.jpg

Naona Lipumba naye kaingia na staili yake!

E.jpg

Naona (kamanda)mlinzi - aliyesimama kulia wa KAFU hapo akiwa amepozi tayari kwa kazi. The guy look stoned though! - Picha kwa hisani ya Michuzi blog!

C.jpg

CUF imezindua Kampeni zako huko igunga kwa mtindo wa aina yake wakati Punda Kihongo wakikokota mkokoteni uliomchukua Mwenyekiti wa Taifa Ibrahim Lipumba pamoja na mgombea wake wa Ubunge jimboni Igunga.

Siasa ni usanii yakhe!

Ubunifu huu umetulia, maana hakuna aliyefikiria kama inaweza tokea zaidi ya matarajio ya kuzunguka na chopper angani. Bodaboda tushazizoea, magari ndo kabisa sasa hii ya punda kihongo ni kali.

Chama cha cuf leo kimezindua kampeni zake igunga huku mkutano wake ukiwa na watu wachache ukilinganisha na zinduzi za vyama vya ccm na chadema. Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya itv yeyote aliyeona habari ya saa 2 atakiri kwamba ni watu wachache sana walikuwa uwanjani.

CUF imezindua Kampeni zako huko igunga kwa mtindo wa aina yake wakati Punda Kihongo wakikokota mkokoteni uliomchukua Mwenyekiti wa Taifa Ibrahim Lipumba pamoja na mgombea wake wa Ubunge jimboni Igunga.

Siasa ni usanii yakhe!

watu walioandamana ni robo ya watu waliandamana siku chadema inazindua kampeni zake.

kweli CUF mziki mkubwa imefunika vyama vyote, cdm huku igunga haipo baada ya kumwagia mfuasi wa CCM tindikali.

CDM wasipoangalia wanaweza kushika nafasi ya nne kwenye uchaguzi wa Igunga nyuma ya UMD!

Back
Top Bottom