CUF yaanza ujenzi wa ofisi yake ya wilaya ya Kinondoni

Mgongo wa paka

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
485
36
cuf imeanza ujenzi wa ofisi ya wilaya ya kinondoni katika kata ya makumbusho barabara ya mwinjuma. Ofisi inajengwa kwa mchango wa matawi yake. Hii imekuwa nitofauti na vyama vinavyo milikiwa na mafisadi kwani wao fisadi moja hujitolea kujenga ofisi.
 
Toa upuuzi hapa wewe.Taja vyama vinavyomikiwa na mafisadi.Mwanaume hawi na majungu.
 
cuf walishapitwa na wakati, zama zao zilipa muongo mzima, sasa ni nani atavutiwa nao ??? wasomw tu alama za nyakati waisuppport CDM huku bara,
muongo mmoja nyuma walikuwa na nguvu, walifanya vizuri, ila bada ya uchaguzi wali lala usingizi wa pono, sasa ivi harakati zao wakati watu wamewakimbia ni kama kujilisha upepo tu
 
cuf imeanza ujenzi wa ofisi ya wilaya ya kinondoni katika kata ya makumbusho barabara ya mwinjuma. Ofisi inajengwa kwa mchango wa matawi yake. Hii imekuwa nitofauti na vyama vinavyo milikiwa na mafisadi kwani wao fisadi moja hujitolea kujenga ofisi.

hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........................haki sawa kwa naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..................asiyependa haki..............................teh,teh,teh.........imebaki historia
 
cuf imeanza ujenzi wa ofisi ya wilaya ya kinondoni katika kata ya makumbusho barabara ya mwinjuma. Ofisi inajengwa kwa mchango wa matawi yake. Hii imekuwa nitofauti na vyama vinavyo milikiwa na mafisadi kwani wao fisadi moja hujitolea kujenga ofisi.

Wenzao wanaeneza elimu ya Uraia wenyewe wanajenga Ofisi. Haya. CCM wana Ofisi hadi kwenye Matawi nini faida yake kama sio vijiwe vya kupiga soga na kufitiniana!

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF
 
TUMBIRI,
Nyie hamna wasiwasi si mtapewa jengo na Mdosi.

Naona Will@NY City kaalibu watu humu JF.
 
Last edited by a moderator:
CDM WANASABODO
CCM WA JITU PATEL
CUF WANA WANANCHI.
Fisad akiwa ccm akihamia cdm mtakatifu!!!!!!!
Híi ni kampen ya kuficha GAMBA KWA GWANDA
 
TUMBIRI,
Nyie hamna wasiwasi si mtapewa jengo na Mdosi.

Naona Will@NY City kaalibu watu humu JF.
ritz,
Kiukweli sisi hatuna wasiwasi na Ofisi. Hata Sobodo asingetoa ofa yake sisi tungeendelea na ofisi yetu ile ile pale Ufipani Kinondoni. Na Operesheni yetu ya Kuvua Gamba na kuvalisha Magwanda ingeendelea bila vikwazo vyovyote. Watanzania wa sasa hivi hawahitaji Ofisi ya Chama ili waweze kukombolewa. Ndiyo maana hata Arumeru Mashariki tulishinda bila hata ya kuwa na Ofisi ya Wilaya, Kata, nk. Ofisi tunafungua nyakati za Kampeni ili kuratibu mawasiliano kati yetu na Tume ya Uchaguzi.

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.
 
Last edited by a moderator:
cuf imeanza ujenzi wa ofisi ya wilaya ya kinondoni katika kata ya makumbusho barabara ya mwinjuma. Ofisi inajengwa kwa mchango wa matawi yake. Hii imekuwa nitofauti na vyama vinavyo milikiwa na mafisadi kwani wao fisadi moja hujitolea kujenga ofisi.

Wenzao cdm wanasubiri ofisi ya bure toka kwa mdosi lol
 
hakulazimishwa huyo mdosi wako and by the way ofisi tunayo,kama anaacha kazi itapigwa kwenye ofisi ileile.mpe salam nape au maalim seif kama wamekutuma
 
attachment
 
Back
Top Bottom