CUF wazidi kuiandama CHADEMA

chatema wamekwisha...wamezikurupukia thiatha dha tanzania thatha zinawatokea puani...tena wanaenda ikulu kujimalidha dhaidi, waulidheni nccr ilikuwa na vichwa zaidi hivi vya chadema wa leo, miaka ya 90 leo wako wapi, walikuw wakiongozwa na kilaza mrema kama kilaza mbowe, poleni vijana wenzangu mlioko chadema...njooni chama dume ingawa kuna changamoto za hapa na pale.....
wewe hatutakuelewa kama utaendelea kutumia magoti pia masabuli yako badala ya kichwa kuleta ujumbe wako kwa great thinkers, hang up
 
kuna swala la uhalali wa chadema kwani kuna uwezekanoi mkubwa sana kuwa zanzibar hawana wanachama au kwa hili la tundu likawapelekea katika hao wanachama wasiozidi 20 na wao kukisusa chadema. Hapo sasa, sijui tendwa ataamuwa vipi?
ualali wa chadema?? Unamaanisha chadema si halali zanzibar?? Au chadema haina hao wanachama uko zanzibar?? Wadhani wazanzibar hawakumuelewa lisu, aaaaah bana mie niko uku zanzibar na ni mwanachama mtiifu wa chadema, acha izo, endelea jitihada zako za haramu za kukumbatia pia kuchagua magamba uku ujichumia dhambi
 
Huko ni kutottmia akili!cuf wamelogwa tayari na kuwa kama viongoz wa ccm wasiojitambua
 
Kuna swala la uhalali wa chadema kwani kuna uwezekanoi mkubwa sana kuwa Zanzibar hawana wanachama au kwa hili la Tundu likawapelekea katika hao wanachama wasiozidi 20 na wao kukisusa chadema. Hapo sasa, sijui Tendwa ataamuwa vipi?
Zanzibar kuna wanachama wengi sana wa CDM na wanazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu hasa baada ya CUF kuungana na CCM na kupoteza matumaini ya wananchi wengi wa ZANZIBAR, niliwahi kufanya utafiti kuhusu hili na nitapublish matokeo soon, ila wewe usipende kuropoka bila utafiti maana bila utafiti hakuna data na bila data hakuna uhalali wa kuongea
 
Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF bwana Juma Duni Haji ametetea vikali mswada wa katiba mpya uliopitishwa na bunge na kusema hata mwalimu Nyerere wakati wa uandaaji katiba ya mwaka 1977 aliteua wajumbe nusu kwa nusu kati ya Tanganyika na Zanzibar.Waziri huyo ameilaani Chadema na kumfananisha Tundu Lissu na mtu asiye na akili. Bwana Juma Duni Haji ameyasema hayo katika kipindi maalum cha dakika 45 ambacho kimerekodiwa na kitarushwa siku ya Jumatatu.
ccm bana wana akili sana hasa dhidi ya hawa watu pia vyama njaa kali kama uyu duni haji na CUF yake, kuna siku wataomba dunia ipasuke waingie na CUF yao watakapo baini chadema kakamata nchi, ivi uchaguzi wa igunga haukuwafungua macho CUF kuwa na wao huku bara hawana chao??
 
OK, kama alivyosema Tundu Lissu, sasa ni wakati wa bara kuamua kama tuendelee kutawaliwa na kisiwa au tuseme imetosha.
 
Kuna swala la uhalali wa chadema kwani kuna uwezekanoi mkubwa sana kuwa Zanzibar hawana wanachama au kwa hili la Tundu likawapelekea katika hao wanachama wasiozidi 20 na wao kukisusa chadema. Hapo sasa, sijui Tendwa ataamuwa vipi?
ivi faizafox zamani enzi izo za uhai wa cuf kwani sasa nasadiki kuwa imekufa au inakufa, wazanzibar tulipokuwa tukiumizwa tulikuwa tuna mlilia nani wajua?? simple ni Cuf leo kashaolewa na CCM wadhani bado tukiumizwa tuna mfuata cuf?? hujui kuwa naye yuko serikalini anashiriki kutuumiza?? wajua tunakimbilia wapi?? simple CDM aka Chadema, ivyo kabla ya kuandika jua kuna mengi sana ya kutafakali.. chadema inaingia kwa kasi sana huku kwetu zanzibar ila ni underground pia bayan, iloooooooo...
 
Cdm ifutwe kwa sababu ina mambo katiba haiyataki kama vile chama kuwepo sehemu moja ya muungano na pia chama kuwa misingi ya udini.CHADEMA IFUTWE HATUITAKI.
 
ivi faizafox zamani enzi izo za uhai wa cuf kwani sasa nasadiki kuwa imekufa au inakufa, wazanzibar tulipokuwa tukiumizwa tulikuwa tuna mlilia nani wajua?? simple ni Cuf leo kashaolewa na CCM wadhani bado tukiumizwa tuna mfuata cuf?? hujui kuwa naye yuko serikalini anashiriki kutuumiza?? wajua tunakimbilia wapi?? simple CDM aka Chadema, ivyo kabla ya kuandika jua kuna mengi sana ya kutafakali.. chadema inaingia kwa kasi sana huku kwetu zanzibar ila ni underground pia bayan, iloooooooo...

mpuuzi mkubwa wee we unakaa znz ipi si huku hatujui uchafu wa cdm.ptuuuuuu
 
Kama issue ni vile alivyofanya Mwl Nyerere ndo watu tufuate, mbona hata katiba hii ambayo leo hii inalalamikiwa hata na waZenji imeundwa kipindi cha Mwalimu? Kwanini wasiiache kama kweli wana lengo la kumuenzi Mwalimu?

Ah! Mie napita tu.
 
Kilichotuponza sisi CUF Ni kuolewa kwa kubakwa na CCM! SIJUI KAMA 2015 TUTAPATA HATA HIZO KURA 600,000 TULIZOPATA 2010 KWA MGOMBEA WA URAIS! viongozi CUF tujitafakari la sivyo hata hiyo ngome tunayoitegemea ya PEMBA itabakwa na CCM au AFP!
 
Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF bwana Juma Duni Haji ametetea vikali mswada wa katiba mpya uliopitishwa na bunge na kusema hata mwalimu Nyerere wakati wa uandaaji katiba ya mwaka 1977 aliteua wajumbe nusu kwa nusu kati ya Tanganyika na Zanzibar.Waziri huyo ameilaani Chadema na kumfananisha Tundu Lissu na mtu asiye na akili. Bwana Juma Duni Haji ameyasema hayo katika kipindi maalum cha dakika 45 ambacho kimerekodiwa na kitarushwa siku ya Jumatatu.

Suala la Kupinga Rais kikwete kuhusika na Mswaada mpya mimi nadhani si suala la Rais Kushika madaraka hayo ila Watu hawamtaki JK binafsi.

Ninaamini kabisa ingekuwa Rais ni SLAA kusingekuwa na tatizo, na Ingekuwa Rais ni Mangufuli kusingekuwa na tatizo , Ingekuwa Rais ni Nyerere Kusingekua tatizo!!!

Hapa na pata picha kwamba hata CCM wenyewe hawamtaki JK kuwa Mwenyekiti Taifa!!!
Sasa kama CCM wanahofu na JK sembuse Wapinzani???
Ikiwa Mzazi anamhofia Mwanae kuwa ni Mwizi , Je Mtu baki atamtetea ???

Naomba tuwe wakweli!!
 
MWAKA MMOJA TU,MANENO YA JK YATIMIA
“…. serikali ni ya watanzania wote. Hata wale ambao hawakutuchagua CCM bado hawana serikali nyingine, ni hii hii. Watakwenda, watarudi. Hawana mwingine wakumlilia kwa yao ,hawana mwingine wakuomba yao yatimie isipokuwa serikali ya chama cha mapinduzi, ambayo mie ndo rais wake. Dr Mohamed Gharib Bilal ndo makamu wake wa rais.Serikali ambayo Dr Alli Mohamed shein ndo rais wa Zanzibar na Maalim seif sharif hamad makamu wa kwanza na balozi seif Alli idd makamu wa pili…..”
Ni sehemu ya hotuba ya rais Jakaya Kikwete wakati anafungua bunge tarehe 18-11-2010,ambapo wabunge wa chadema walitoka bungeni kususia hotuba yake kwa madai ya kutomtambua kama rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,wakiongozwa na mwenyekiti wao freeman mbowe.
Ni mwaka mmoja na siku kama mbili tatu hivi,hatimaye maneno ya rais Jakaya kikwete yametimia,mnamo tarehe 21-11-2011,Mwenyekiti wa chadema freeman Mbowe atangaza kwa vyombo vya habari na kwa umma wa watanzania azma yao ya kutaka kuonana na Jakaya kikwete,sisi kama mwenyekiti wa CCM bali kama Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kwanza wamemtabua kama JK ni rais,pili wamekimbilia kwake kutaka msaada wa mapendekezo yao juu ya sheria ya muundo wa kuunda tume ya kuratibu maoni ya wananchi juu ya katiba mpya.Kwa moyo wa furaha rais amekubali kukutana nao.
Nawapongeza chadema kwa uzalendo na mapenzi yao makubwa waliyoonesha kwa rais JK mbele ya umma wa watanzania,kwa kuithibitisha kauli yake kwa vitendo kwamba “….Watakwenda, watarudi. Hawana mwingine wakumlilia kwa yao ,hawana mwingine wakuomba yao yatimie isipokuwa serikali ya chama cha mapinduzi, ambayo mie ndo rais wake…”
Kuna swala la uhalali wa chadema kwani kuna uwezekanoi mkubwa sana kuwa Zanzibar hawana wanachama au kwa hili la Tundu likawapelekea katika hao wanachama wasiozidi 20 na wao kukisusa chadema. Hapo sasa, sijui Tendwa ataamuwa vipi?
 
Kuna swala la uhalali wa chadema kwani kuna uwezekanoi mkubwa sana kuwa Zanzibar hawana wanachama au kwa hili la Tundu likawapelekea katika hao wanachama wasiozidi 20 na wao kukisusa chadema. Hapo sasa, sijui Tendwa ataamuwa vipi?

Ungemalizia tu hiyo mistari yako! kwamba ataifuta cdm! sivyo? bongolala!
 
Duni analinda mkate wake wa kila siku but nina tamani kuona kuna jimbo liko wazi Pemba au Unguja then uchaguzi uitishwe nisiki hoja zao au wataamua kupeana tu ? Hakika CUF imeisha na huku bara ndiyo wasahau kabisa kupata kura hata moja .
 
Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF bwana Juma Duni Haji ametetea vikali mswada wa katiba mpya uliopitishwa na bunge na kusema hata mwalimu Nyerere wakati wa uandaaji katiba ya mwaka 1977 aliteua wajumbe nusu kwa nusu kati ya Tanganyika na Zanzibar.Waziri huyo ameilaani Chadema na kumfananisha Tundu Lissu na mtu asiye na akili. Bwana Juma Duni Haji ameyasema hayo katika kipindi maalum cha dakika 45 ambacho kimerekodiwa na kitarushwa siku ya Jumatatu.
Wapemba tumewakaribisha bara na tumewapa uhuru wa kuuza nyanya tu, basi. mengineyo tuachieni wenyewe.
 
..hao wamegoma tu kumuelewa Tundu Lissu.

..Lissu anatetea jambo lilelile ambalo CUF wamekuwa wakipigia kelele miaka mingi, nalo ni kurudishwa kwa serikali ya Tanganyika.

..nafasi ya Tanganyika lazima itambuliwe kwanza kabla ya kuanza kuijadili katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

..kwenye mjadala mzima wa katiba sera za CDM zinakaribiana sana na sera za CUF, sijui kwanini viongozi kama Duni na Hamad Rashid wanashindwa kuliona hilo.
 
Back
Top Bottom