Katika pigo kubwa tulilopata Tanzania ni CUF kutoka kuwa imara cha upinzani na kukosa mwelekeo kabisa. Sera za CUF ambazo wamekuwa wanazihubiri miaka yote ni kuwa na serikali tatu katika muungano. Nimesoma Mwananchi ya leo eti wabunge wa Znz wakiwemo wa CUF wanasema wao wanataka tuendelee na serikali mbili na kwamba wanaotaka serikali tatu wanataka kuleta fujo. Sasa CUF kama chama mmebadili sera lini au kwa vile CCM wanasimamia hapo? Ndio maana naipenda Chadema ina Msimamo