Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 233
Hadi sasa hakuna tamko lolote kuhusu yaliyojiri katika uchaguzi wa Uwakilishi jimbo la Bububu ambapo mgombea wa CCM alishinda, mbali na kulalamika kwa mgombea wa CUF kwamba uchaguzi haukuwa wa haki, hatambui matokeo na atakata rufaa.
Jee viongozi wa chama chake hususan mtendaji mkuu -- Katibu Mkuu Maalim Seif wanasemaje kuhusu malalamiko yake? Au wao wameridhika?
CUF angalieni sana haya mambo -- itakuwa vigumu sana kukubalika kwamba nacho ni chama cha upinzani. Seriously!