CUF wapeleka barua Ikulu ya kuonana na Rais

Mambo ya mume (CCM) na mke (CUF) tuwaachie wanandoa wenyewe, kwanza ilitakiwa hata vyombo vya habari visireport. am out
 
chadema walitaka kunyang'anya mume wa CUF pasipo kufuata utaratibu. Utaingiaje nyumbani wa CCM bila CUF kuwepo? uliwahi kuona wapi mnamtembelea mtu halafu unasema mke wako nisimkute nyumbani kwako. Hapa Jf wanachadema ndio wanasema kuna ndoa kati ya CCM na CUF. Nini cha ajabu kama CUF wameomba kukutana na Rais

utaombaje kukutana na mmeo wakati mnaishi chumba nyumba moja, chumba kimoja na mnalala kitanda kimoja
 
Safi sana. Haijalishi nani kaanza na ni nani kafuata. Cha msingi hapa ni kuona kama preidaa atayafanyia kazi haya maoni ya hivi vyama. Kwa upande mwingine,..... hiii pia itapunguza safari za nje za mheshimiwa maana kila wiki itabidi akutane na alau chama kimoja!
 
Uhuru wa Kidemokrasia, hata mie naweza wewe unaweza kwenda Ikulu kumuona Rais katika yale ywnye maslahi na Taifa.
 
Uhuru wa Kidemokrasia, hata mie naweza wewe unaweza kwenda Ikulu kumuona Rais katika yale ywnye maslahi na Taifa.
 
Jamani wana jf hivi kuna kosa kwa mke kumwona mmewe?????????aaaaaah jamani hawa walishaisha,kifikra wamebaki masaburi tu.
 
copy and paste! ahaa kweli, CUF walikataa kumtambua Salmin Amour 1995, wakagoma baraza la wawakilishi, wakaomba kwenye nchi zinazotowa misaada kusitisha kwa vile hakuna rais halali, tukaandamana 2001... Tuje kwenye wanao copy and paste... Hatumtambui Rais, hata mwaka haujamaliza wanakwenda Ikulu huku wakicheka kwa kuingia Ikulu, maandamano hayapo tena,...

Ikisha munaita unafiki CUF wanafiki. Kama hamujuwi maana unafiki, basi ni hivi basi huo munao fanya Chadema ndio unaitwa unafiki, unautagazia umma hamumtambui kama Rais ikisha munakwenda kumsujudilia Ikulu. Unasema Rais akiweka saini mutafanya maandamano, nayo yamefifia hayapo tena...
 
Back
Top Bottom