Hakuna tatizo cf kuonana na rais ila kwa issue ya katiba c waliiunga mkono? cf bara wawe makini na cf zanzibar. cf zanzibar wanashinikiza mambo ambayo yanaua cf bara na kupoteza umaarufu kwa tz bara. Cf ijiandae kubaki chama cha pemba.
Kama mwananchi na mwana ccm, ukweli ni kwamba hatuogopi kuwapa nchi chadema lakini tunaogopa cuf zaidi maana hatujui price tag yao na personalities za kuhonga..
Kwa cdm tunawafahamu nani na yupi wa kuhonga na nani ataenda kumpa hela..sasa wewe utashangaa cuf ni kizuri kupita chama chochote wakirekebisha mambo madogo madogo ya management ..hasa (media)