CUF Wanachekesha; Wanapendekeza mabadiliko ya muswada...!

Hapo kwenye red sio kweli mkuu labda nikusaidie, Twaha Taslima ni Mhaya wa Bukoba Vijijini, Huyo bwana mdogo Abdul Kambaya anatoka Dar es Salaam na hata huyo mama Mkiwa Kimwanga sina uhakika lakini nafikiri anatoka bara pia. Kwa hiyo, bara imewakilisha vilivyo isipokuwa suala sasa ni wana hoja gani ya maana hao?
Lugha ya kufikiri haikubaliki hapa JF, kama kitu hujui ni vyema ukakaa kimya, usimkosoe mwenzako wakati wewe mwenyewe huna uhakika na unachokisema.
Kinachowashangaza watu hapo ni kwamba huo ni ujumbe wa chama au ni ujumbe wa Bakwata? maana wajumbe wote wametoka msikitini ndio wakaenda Ikulu kukuatana na Alhaji Kikwete.
 
Naomba kuelimishwa na wana JF, hivi huyu Naibu katibu Mkuu wa CUF bara Julius Mwenyewe ni mkristo au muislamu, naona kama ana sigida kwenye paji la uso kuonyesha dalili za kwamba ni muislamu!

35iyrr8.jpg
 
Lugha ya kufikiri haikubaliki hapa JF, kama kitu hujui ni vyema ukakaa kimya, usimkosoe mwenzako wakati wewe mwenyewe huna uhakika na unachokisema.
Kinachowashangaza watu hapo ni kwamba huo ni ujumbe wa chama au ni ujumbe wa Bakwata? maana wajumbe wote wametoka msikitini ndio wakaenda Ikulu kukuatana na Alhaji Kikwete.

Kaka hapo kwenye red; umemaliza kila kitu! Hiyo ndio sura halisi CUF. Narudia tena: Akihojiwa na BBC Swahili Katibu Mkuu wa CUF aliwahi kuulizwa mtazamo wake kuhusiana na CUF kuonekana kama chama cha kidini kutokana na wafuasi wake kujitambulisha hivyo. Akijibu, alisema, kama wafuasi wa dini fulani wameamua kuwa wafuasi wa CUF, yeye afanyeje?

Hivyo, suala la CUF kuwa na wafuasi wa dini fulani tu sio la jana au juzi! Wala sio suala la "ki-propaganda". Ni suala halisi kwa mapana na marefu yake pasi na kutia chumvi au propaganda.
 
Hebu muangalieni huyo kijana wa kwanza kulia hivi alikosa hata suti ya mtumba? au ni dereva wa gari la CUF na yeye akaingizwa kwenye mazungumzo maana yalikuwa hayana maana yoyote zaidi ya kwenda kupiga soga?
 
Siasa za maji taka za cuf chama hiki kwishney namsikitikia sana mtatilo yatakuja mpata kama yaliyompata Rwakatale aliyekuwa cuf pia alipanda na akashuka.:hatari:
 
Hebu muangalieni huyo kijana wa kwanza kulia hivi alikosa hata suti ya mtumba? au ni dereva wa gari la CUF na yeye akaingizwa kwenye mazungumzo maana yalikuwa hayana maana yoyote zaidi ya kwenda kupiga soga?
huyo kijana anajua ikulu si mahara patakatifu ndio maana kavaa kama anaenda kariakoo
 
Ni kweli, a photo can speak a thousands words, inajionesha dhairi hakukuwa na lolote la maana ndio maana hata mawaziri wengine wa JK hawakutaka kupoteza muda wao kuwasubili hao macomedians.
 
Chadema ina wabunge dsm, arusha, kilimanjaro, manyara, Mara, mwanza, shy, kigoma, rukwa, iringa, mbeya, singida nk. Cuf ina wabunge katika mikoa ipi ya bara? Chadema hakuna mkoa ambao haina diwani. Ni upuuzi kusema kuwa si chama cha kitaifa
Chadema ina milikiwa na wachaga
 
Kaka hapo kwenye red; umemaliza kila kitu! Hiyo ndio sura halisi CUF. Narudia tena: Akihojiwa na BBC Swahili Katibu Mkuu wa CUF aliwahi kuulizwa mtazamo wake kuhusiana na CUF kuonekana kama chama cha kidini kutokana na wafuasi wake kujitambulisha hivyo. Akijibu, alisema, kama wafuasi wa dini fulani wameamua kuwa wafuasi wa CUF, yeye afanyeje?

Hivyo, suala la CUF kuwa na wafuasi wa dini fulani tu sio la jana au juzi! Wala sio suala la "ki-propaganda". Ni suala halisi kwa mapana na marefu yake pasi na kutia chumvi au propaganda.

naamini pia chuki za CUF kwa watu wa bara ni sababu tu ya udini.
 
Hii ndoa ya cuf na ccm ina mapenzi ya dhati kweli?maana naona ccm-b wamekuwa kama milupo wanajigonga tu!
 
Ni kweli, a photo can speak a thousands words, inajionesha dhairi hakukuwa na lolote la maana ndio maana hata mawaziri wengine wa JK hawakutaka kupoteza muda wao kuwasubili hao macomedians.

ni aheri uangalie comed kuliko matapeli wa kisiasa.
 
unajua
nini cuf ni wanafiki tu hamna lolote mi wananiboa kinoma siwapendi kama nini,wanafiki balaaaaaaaaaaaa,kama lipumba hana akili kama jina lake kabisa.

umemsahau mnyaa na hamad rashid mkuu.Hawa wana chuki mbaya na watu wa bara kwa sababu tu ya udini.
 
Hapo kwenye red sio kweli mkuu labda nikusaidie, Twaha Taslima ni Mhaya wa Bukoba Vijijini, Huyo bwana mdogo Abdul Kambaya anatoka Dar es Salaam na hata huyo mama Mkiwa Kimwanga sina uhakika lakini nafikiri anatoka bara pia. Kwa hiyo, bara imewakilisha vilivyo isipokuwa suala sasa ni wana hoja gani ya maana hao?

hivi walikuwa wanawakilisha Bakwata?
 
Back
Top Bottom