KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 963
Yes babad uko correct, wafuasi wa CUF hawaamini macho yao kwa kinachoendelea, chama chao badala ya kujiINVOLVE ktk mageuzi ya kweli wanaamua kuolewa na magamba (mwanangu kuolewa na wasira yule na wenzake) akya mungu ata mie nisingekubali heri niache ufuasi wa CUFWafuata mkumbo tuu hao kwani wameshaishiwa na hawana jipya zaidi ya kuwazuga wafuasi wao kwa kujionyesha eti nao wapo