CUF Wanachekesha; Wanapendekeza mabadiliko ya muswada...!

hawa CUF wapuuzi sana hawajui wanasimamia nini. Hawajui kama wanakataa au wanakubali. Tatizo kubwa la hawa jamaa toka wamekuwa nyumba ndogo ya CCM hawaeleweki wala mwenyekiti wao hasikiki kabisa wala katibu wao mkuu. CUF haina msimamo kila mtu kwenye chama anafanya anavyo jisikia hata msemaji wao hajulikani. Tusubiri hizo tetesi zao za kupinduana zifanikiwe.
 
CUF kama Chama kikuu cha upinzani nchini lazima kitoe changamoto kwa chama tawala

CUF chama kikuu cha upinzani? Wao waliungana na ccm kupitisha kila kitu sasa baada ya wiki moja unapinga kitu gani tena? Hawana mwelekeo
 
Kazi yao inaendelea..ni njia ya kuua nguvu ya CHADEMA katika hili,baadae watasema hata CUF nao wanahitaji mabadiliko katika hili kwa hiyo CHADEMA wasilazimishe..vingenevyo ni dalili mbaya kwa CUF kwa maana kwamba kuna uwezekano kuwa msimamo wa CUF ukawa tofauti kati ya CUF-Zanzibar na CUF-Bara..na hili linaonekana kupitia kauli ya Julius Mtatiro muda mfupi baada ya mswada huu kuwekwa hadharani.....kama hilo si kweli,basi hawa jamaa ni wahuni tena wanafiki wakubwa na waone aibu wakati mwingine,wanawachezea watanzania na kudhani kuwa uwezo wa watanzania kufikiri ni mdogo kiasi hicho?
Umetoa hoja muhimu sana. Mtatiro alisema hapahapa JF kuwa wanapinga mswada lakini tukashangazwa na kauli za wabunge wa CUF. Ina maana CUF hakina msimamo kama chama au kila mtu na lwake? Huko ndiko kukosa dira
 
nimecheka mbavu sina baada ya kusikia majina ya walioenda ikulu.Ni jina la Julius Mtatiro tu lina tofauti na hayo mengine.Mengine yote yaliyobaki ni yale yale ya chama chetu.Hakika tunadumisha mila!
Halafu utashangaa CUF wanasema chadema si chama cha kitaifa! Wao ni chama cha wapemba na waswahili wachache
 
Watanzania walishawajua mapema na wameshapata dawa yao wala wasihangaike!wanapoteza tu muda na wabongo sasa hv hawadanganyikiiiiiiiiiiii
 
Nashukuru kwa kuchangia coz nikichangia nitatukana na kupata ban ngoja ninyamaze niendelee kusoma maoni ya wadau wengine. Cuf you have died
 
Msiwashangae CUF bali kuwahurumia maana uchangudoa si shughuli lelemama. Lazima wajipendekeze vinginevyo watatimuliwa maana hawahitaji talaka. Mnamuona madevu anavyozidi kuchana na kupendeza? Sijui jamaa za marehemu waliouawa huko Zenj wakiitikia mwito wa kudai haki wa Madevu wanamuona na kumuelewaje wakati huu alipoamua kuwauza kwa cheo uchwara? Adui wa CUF ni Seif na Lipumba. Wakati umefika kwa wapemba kutia akilini na kuacha siasa za kibubusa kama CCM na Kikwete na Lowassa wao.
 
Halafu utashangaa CUF wanasema chadema si chama cha kitaifa! Wao ni chama cha wapemba na waswahili wachache

hahaaa yaani hapa umemaliza, maana wabunge na wawakilishi wao 90 asilimiani Wapemba
 
They are dead from the neck up, I am making a coffin that will cover just their heads
 
haya mapendekezo yanapaswa yapelekwe kwa Pindi Chana m/kiti wa sheria na katiba siyo IKULU
 
hahaaa yaani hapa umemaliza, maana wabunge na wawakilishi wao 90 asilimiani Wapemba
Chadema ina wabunge dsm, arusha, kilimanjaro, manyara, Mara, mwanza, shy, kigoma, rukwa, iringa, mbeya, singida nk. Cuf ina wabunge katika mikoa ipi ya bara? Chadema hakuna mkoa ambao haina diwani. Ni upuuzi kusema kuwa si chama cha kitaifa
 
Chadema ina wabunge dsm, arusha, kilimanjaro, manyara, Mara, mwanza, shy, kigoma, rukwa, iringa, mbeya, singida nk. Cuf ina wabunge katika mikoa ipi ya bara? Chadema hakuna mkoa ambao haina diwani. Ni upuuzi kusema kuwa si chama cha kitaifa

Umenena
 
Ktk watu walionichekesha ni CUF,any way hatutakiwi kuwashangaa cause wao na CCM ni mwili 1.Umeshawahi kuona mtu akifa anaanza kiungo ki 1 baada ya kingine au mwili unakufa kwa pamoja?Sasa kwakua wao na CCM ni mwili 1 ndo maana wote wanakufa.
 
hivi hawa na wabunge wa CCM si ndyo walipitisha mswada wa sheria ya kutungwa katiba,sasa kwa jk walienda kufanya nn
 
Chadema ina Wabunge NCHI NZIMA,ikiwepo Pemba na UNGUJA (Nimewasahau wale Dada zangu Jasiri Kabisa wa Viti Maalum ambao CCM B ilitaka kuwalazimisha eti kwa sababu CDM wanatoka Mjengoni wao wasitoke kwa sababu ni Wazenzibari),Narudia Tena NCHI nzima inawabunge CHADEMA.CCM "B" Haina Mbunge Mbeya(Sugu CDM),Iringa(Msigwa CDM), Arusha(Nchi nzima na Ulimwengu wanamjua CDM), Dar es Salaam(Wawili CDM), Rukwa(Makamu Mwenyekiti),Kigoma(Naibu Katibu Mkuu).......................Zanzibar Tunao Watatu.............Bara wanao wawili,Barwan-Lindi na Sakaya Kiti Maalum-Tabora(Huyu Dada aliwahi wakubali Chadema,sema time tu,tutajua ukweli in a long run).
 
Back
Top Bottom