Katika vyama vilivyokosa mwelekeo jamani ni CUF. Nimesikiliza TBC hapa wanasema wamempa rais mapendekezo ya kubadili mswada wakati juzi tu waliupisha wao kwa kuunga mkono asilimia mia moja. Chama gani cha siasa ambacho hakina msimamo wamebaki kufuata upepo tu? Je, chadema wasingepinga mswada leo wangeleta mapendekezo ufanyiwe marekebisho?