CUF waiga CHADEMA

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Wameanza mkakati rasmi wa kuchangia chama kwa kutumia mtandao wa zantel. Mpango huo umezinduliwa huko zanzibar na Profesa Lipumba ktk mkutano wa hadhara. Je ni mpango ule ule wa kuiga chadema?, je wasingeanza chadema wangeiga nini?.
 
Tunawakaribisha, sisi siyo wachoyo wa Mawazo.
 
Nimeisikia hiyo taarifa kwenye Habari ITV ni jambo zuri pia kwa Cuf. Ila mwambieni Jusa aache udini wake hautamsaidia kitu jamaa ni mbaguzi sana!
 
Sijui ni lini Prof Lipumba ataanza kujenga chama chake? CUF Zanzibar ni ya Maalim Seif na ni tofauti kabisa na CUF ya Bara. Unless Lipumba ameajiriwa na Maalim Seif na kuna kitu kinaambia Bara wameuziwa mbuzi kwenye gunia. Prof mwenyewe anazugazuga kwa siku kadhaa anatokomea zake ughaibuni.
 
wanaiga mbinu ya chadema ili chadema waonekane kama hawana jipya......walianza na helcopita wakaiga.
 
Wameanza mkakati rasmi wa kuchangia chama kwa kutumia mtandao wa zantel. Mpango huo umezinduliwa huko zanzibar na Profesa Lipumba ktk mkutano wa hadhara. Je ni mpango ule ule wa kuiga chadema?, je wasingeanza chadema wangeiga nini?.

Mbona kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba CCM ndio walikuwa wa kwanza kutumia mitandao ya simu kuchangisha pesa au kumbukumbu zangu zimepotea kidogo?
 
Tunawakaribisha, sisi siyo wachoyo wa Mawazo.

Mbona kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba CCM ndio walikuwa wa kwanza kutumia mitandao ya simu kuchangisha pesa au kumbukumbu zangu zimepotea kidogo?

Oya mambo gani tena unaleta hata kama ni kweli ccm walikuwa wa kwanza kuchangisha kwa kutumia simu na zile scrach cards zao ni lazma useme? cdm ndio wa kwanza jamani mwacheni Kimbunga na kumbukumbu zake! wanachama wa cdm wananitia shaka sana.

Naona mjumbe wa baraza kuu taifa amepigilia msumari kuwa hata wao walikaribishwa na waanzilishi na hawakuwa wachoyo kwanini wao wawe wachoyo?
 
Wameanza mkakati rasmi wa kuchangia chama kwa kutumia mtandao wa zantel. Mpango huo umezinduliwa huko zanzibar na Profesa Lipumba ktk mkutano wa hadhara. Je ni mpango ule ule wa kuiga chadema?, je wasingeanza chadema wangeiga nini?.

Hakuna ubaya kuiga vitu vizuri, nawapongeza:A S 41:
 
Mbona kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba CCM ndio walikuwa wa kwanza kutumia mitandao ya simu kuchangisha pesa au kumbukumbu zangu zimepotea kidogo?

Kumbukumbu zako zimezeeka tuambie ni lini CCM walianza kuchangisha
 
Oya mambo gani tena unaleta hata kama ni kweli ccm walikuwa wa kwanza kuchangisha kwa kutumia simu na zile scrach cards zao ni lazma useme? cdm ndio wa kwanza jamani mwacheni Kimbunga na kumbukumbu zake! wanachama wa cdm wananitia shaka sana.

Naona mjumbe wa baraza kuu taifa amepigilia msumari kuwa hata wao walikaribishwa na waanzilishi na hawakuwa wachoyo kwanini wao wawe wachoyo?

Madhara ya breakfast ya Urojo. CCM hawajawahi kuwa wa kwanza katika hilo
 
Kwani hamjui kwamba CDM ndiyo Inayoongoza nchi vyama vingine including CCM ni WAPINZANI (read WAIGAJI)

Case study MCHAKAO WA KATIBA MPYA hauko kwenye ILANI ya CCM uko kwenye ILANI ya CDM. CCM wameamua kutekeleza ILANI ya CDM baada ya kuona ilani yao ni MANUNGA YEMBE au HATEKELEZEKI.
 
Swala kuchangisha kwa mtandao wameanzisha ccm tokea uchaguz mkuu wa 2010...
Madai ya katiba mpya na tume huru ya uchaguz km tutakuwa na kumbukumbu mzur yalianzishwa na cuf na madai haya ndio yalisababisha kuvunjwa mkono pr.lipumba pale mbagala zakheem na siku inayofuata tulishuduia mauaji ya kutisha kule znz hii ilikuwa mwaka 2001.kwakwel chadema wanacopy na kupest tu hawana jipya!!
 
Swala kuchangisha kwa mtandao wameanzisha ccm tokea uchaguz mkuu wa 2010...Madai ya katiba mpya na tume huru ya uchaguz km tutakuwa na kumbukumbu mzur yalianzishwa na cuf na madai haya ndio yalisababisha kuvunjwa mkono pr.lipumba pale mbagala zakheem na siku inayofuata tulishuduia mauaji ya kutisha kule znz hii ilikuwa mwaka 2001.kwakwel chadema wanacopy na kupest tu hawana jipya!!

Mwanzilishi wa kuchangia chama kwa simu ki ukweli walikua CDM, nakumbuka hadi baadhi ya maneno yaliyozungumzwa wakati wa uzinduzi na mwenyekiti wa chama hicho bwana Freeman Mbowe, alisema, "Tuachane na mawazo ya kizamani kwamba wana chama ni wale wenye Kadi tu, tunaweza kuwa na wana chama hat kwa njia za kisasa, lengo letu ni kupata Shilling 900,000,000, hivi" sikumbuki hasa ilikuwa mwezi gani lakini hata mgombea wa urais alikuwa bado hawaja mtaja then baada ya kama mwezi mmoja baadaye, Kikwete naye alizindua, kinachasababisha ionekane kama CCM walikuwa wa kwanza ni ushiriki wa wana muziki wa kizazi kipya kutangaza sana zile namba zao, CCM walikuwa na namba tofauti kwa kila kiwango unachotaka kuchangia, wana muziki kama Profesa J n.k walitangaza sana, sababu ya kushirikisha wana muziki kwa ccm nadhani kila mwenye mawazo huru ambayo haya changanyiki na ushabiki wa Kisiasa, Kidini, chuki za ukabila (yaani kuchukia wachaga na watu wa kaskazini) anajua ni kwanini wana muziki wengi hupenda kujionesha wapo ccm zaidi kuliko upinzani.
 
Back
Top Bottom