CUF: Viongozi wa dini ndio wanaoendesha Siasa

Taifa letu si wamoja tena. Ni afadhali kampeni zifanyike kwenye nyumba za ibada ili kupunguza gharama za uchaguzi. Wapiga kura waende na sadaka zao ili kuimarisha taasisi za dini, na si mafisadi/matajiri kuchangia mafuta ya helicopter wakati hawawezi kufanya hivyo kwa nia njema ya kusogeza huduma za jamii (maji, hospitali, nyumba za walimu) karibu na wanachi.
 
Back
Top Bottom