Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,200
- 820
Vyama vyote ukipima kwa usomi chama chenye viongozi wasomi ni CUF peke yake
Umekalilishwa vibaya bila kuchambua, unadanganya hadharani kama wanavyosema kuwa, idadi ya waislamu ama ni kubwa au inalingana na idadi ya wakristo nchini.
Chama Cha Mafisadi ndicho chenye wasomi wengi sana ila wameleta maendeleo gani ya maana ukilinganisha na rasilimali tulizo nazo? Zaidi sana wame nyang'anya haki za raia na kuongeza ufisadi nchini.