CUF ni chama cha upinzani?

Exactly, kwanini isiwaachia CUF na wananchi wa zanzibar na watanganyika waamue kama ni wapinzani au la? wameolewa au la?

Taasisi kama TEC na maaskofu vilevile waache kutoa waraka kuwaelekeza waumini wapige kura mgombea fulani..hapo ndio wananchi wataamua kwa haki..bila ...

Ni kweli wananchi wana kila haki ya kuachwa waamue wenyewe ila hapo kwenye red tunarudia kosa lile lile yaani uongo. Kwa "maaskofu" wengine sijui ila kwa TEC nimesoma nyaraka zao mbalimbali sikupata hata mara moja mahali panapowataka "wakristo" kuchagua au kutochagua chama fulani bali mpiga kura mwenyewe apime na kuamua kwa usahihi ni chama na mgombea gani anayefaa kwa maendeleo ya watanzania wote.

Daima nyaraka zao ziko "neutral". Katika "kujibu mapigo", kana kwamba ni mashindano, wakati wa uchaguzi mkuu 2010 waislamu nao wakatoa wa kwao - full udini na kuwataka waislamu wasikipigie kura chama fulani. Upuuzi huu ndio usiotakiwa!

Hebu kumbuka ya Igunga kana kwamba ilikuwa ni mashindano kati ya Bakwata/CCM/CUF kwa ajili ya "maslahi ya waislamu" kwa upande mmoja dhidi Chadema ambayo haikuwa na fungate na dini yoyote kwa upande mwingine. "Upuuzi" huu ndio usiotakiwa
 
Sefu sio ngangari tena na siku hizi wala hafugi tena mandevu maana tumeambiwa "mwanaume mwenye ndevu ni Jk tu" maneno ya Lusinde akihutubia bunge la wana ndoa [CCM, CUF, TLP, & UDP] siri za chumbani amezipeleka bungeni.

Sisi chadema wakati huo tuko zetu busy na vikao kuwaokoa wananchi na muswaada mbovu.
 
Ni kweli wananchi wana kila haki ya kuachwa waamue wenyewe ila hapo kwenye red tunarudia kosa lile lile yaani uongo. Kwa "maaskofu" wengine sijui ila kwa TEC nimesoma nyaraka zao mbalimbali sikupata hata mara moja mahali panapowataka "wakristo" kuchagua au kutochagua chama fulani bali mpiga kura mwenyewe apime na kuamua kwa usahihi ni chama na mgombea gani anayefaa kwa maendeleo ya watanzania wote.

Daima nyaraka zao ziko "neutral". Katika "kujibu mapigo", kana kwamba ni mashindano, wakati wa uchaguzi mkuu 2010 waislamu nao wakatoa wa kwao - full udini na kuwataka waislamu wasikipigie kura chama fulani. Upuuzi huu ndio usiotakiwa!

Hebu kumbuka ya Igunga kana kwamba ilikuwa ni mashindano kati ya Bakwata/CCM/CUF kwa ajili ya "maslahi ya waislamu" kwa upande mmoja dhidi Chadema ambayo haikuwa na fungate na dini yoyote kwa upande mwingine. "Upuuzi" huu ndio usiotakiwa

Mkuu don't fool people waraka wa maaskofu mimi mwenyewe nimesoma na ulikuwa na dalili zote za kuelekeza waumini wao wampigie nani??? besides waraka uandaliwe na maaskofu kwa ajili ya wakristo halafu uwe neutral?? joke

Ukitaka kuwa mkweli ungesema waraka wowote unaoletwa na kiongozi wa dini ni muflis kama si mwanasiasa au chama cha siasa period!

Lakini kwakuwa umeshaanza kutetea waraka wa kikristo wewe ndio wale wale wa dini ileile kwa ajili ya wa kanda ileile..kwaheri..

Ukweli unatakiwa ukate pande zote..
 
hebu nipe definition yako ya chama cha upinzani ..??

je kutokubaliana na CDM kina wafanya wasiwe wapinzani ...??

ama true defn. yako ya upinzani ni kukosoa kila lile linalosemwa na kufanya na serikali ....? CUF ni chama makini ndio maana wakakubali mseto wa serikali ili kuepusha vurugu kule znz kama za miaka iliyopita kwani zilikuwa hazina tija yoyote zaidi ya VIFO tu....

Kwani CUF ndo walioua wananchi kule Zenji?
 
unafiki utakumaliza. upinzani wa cdm uko wapi. au vurugu hizo

Yani CDM waandame kwa amani, wafanye mikutano kwa amani, vurugu ziletwe na polisi, polisi ipige na kuua af unasema eti CDM ni chama cha vurugu. Ni kwamba unaelewa haya mambo sawasawa au unaleta upotoshaji wa makusudi? Basi kama ni upotoshaji basi mda wake umepita.
 
Ni chama cha upinzani!wanapingana na yeyote yule anayetaka kuvunja NDOA halali kati yake na Magamba!!
 
cuf si wapinzani-maana wanatetea hata mambo ya kijinga-2015 hakutakuwa na mbunge wa cuf huku tanganyika
 
CUF bado ni chama cha upinzani; labda tu siku hizi hatujui kinapinga nini hasa ...okay .. kinapinga mabadiliko
 
mimi nina uhakika wafuasi wengi wa chadema ni aina fulani na kanda fulani

Na viongozi wengi wa chadema wamesoma seminary za kikatoliki

Sasa chadema ifanyeje????

kweli mkuu mbozi, musoma mjini, rombo,ubungo na kigoma ziko kanda moja. halafu na mk. kwa kuwa alisoma seminary naye ni kiongozi wa cdm
halaf kule seminari walikuwa wanafundiswa siasa pia.
 
Chma cha CUF ni chama kilchotokea kuw maarufu sn tz! Hivi sasa tumeshuhudia unafiki mkubwa wa wabunge wake kukishambulia chama kikuu cha upinzan cdm!prof lipumba amepotea kisiasa,hata hasikiki tena.ni chama kilchokuw kinadai pia maandamano kutetea maslah y taifa.

Je watz wameshapata haki zao? Au maslahi yalikuwa ya kina Sharif Hamad! Je bado ni chama cha upinzani Au cha kinafiki?

Niendelee kubaki CUF?

ww Mtatiro nn? By the you should move from go even to CHAUSTA or UPDP
 
hebu nipe definition yako ya chama cha upinzani ..??

je kutokubaliana na CDM kina wafanya wasiwe wapinzani ...??

ama true defn. yako ya upinzani ni kukosoa kila lile linalosemwa na kufanya na serikali ....? CUF ni chama makini ndio maana wakakubali mseto wa serikali ili kuepusha vurugu kule znz kama za miaka iliyopita kwani zilikuwa hazina tija yoyote zaidi ya VIFO tu....

unasema walichochea vurugu watu wakafa! kuna aliyewajibishwa kwa kuchochea, kuua au vyote pamoja. iko wapi haki ya waliyokufa wakitetea falsafa ya chama! au watu wameongopewa, haki wanayo maalim seif, hamadi rashid, jusa, lipumba n.k. wafuasi hata kufa inafaa!! cuf haiaminiki. inakubaliana na vitu vinavyostahili kupingwa kwa nguvu zote.
 
mimi nina uhakika wafuasi wengi wa chadema ni aina fulani na kanda fulani

Na viongozi wengi wa chadema wamesoma seminary za kikatoliki

Sasa chadema ifanyeje????

muongo wew tafuta kingne kuishambulia cdm kwan Mwenyekiti wa vjana wa cdm unajua historia yake nenda kwa ****** huyo akupe maneno tena
 
Chma cha CUF ni chama kilchotokea kuw maarufu sn tz! Hivi sasa tumeshuhudia unafiki mkubwa wa wabunge wake kukishambulia chama kikuu cha upinzan cdm!prof lipumba amepotea kisiasa,hata hasikiki tena.ni chama kilchokuw kinadai pia maandamano kutetea maslah y taifa.

Je watz wameshapata haki zao? Au maslahi yalikuwa ya kina Sharif Hamad! Je bado ni chama cha upinzani Au cha kinafiki?

Niendelee kubaki CUF?
Mwanamke hawezi kuwa mpinzani wa ndoa yake mwenyewe. CUF ni mke wa CCM atakuwaje mpinzani katika hiyo ndoa yao?
 
Back
Top Bottom