Mswada mpya unasema ili katiba mpya ipite lazima pande mbili za muungano zipitishe kwa theluthi mbili kwa maana ya bunge maalum la katiba na referandum.
Ina maana kuwa CUF ndio watakuwa waamuzi maana wasipounga mkono upande wa znz haitapita. kwa mfano CUF wanaweza kusema bila serikali tatu hawatapitisha katiba. Ukipeleka serikali mbili znz huwezi kupata theluthi mbili, nafikiri imeeleweka na ndio ulikuwa msingi wa hoja ya Tundu Lissu jana!