CUF na kampeni Rufiji

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Jana nimepita maeneo ya ikwiriri nikashuhudi CUF inapiga kampeni za ubunge wa 2015.Walikuja na slogani inayosema "haki sawa",lakini baadhi yakundi fulani walikua wanatafuta maana ya hiyo slogan,sababu wanaelewa haiwezekani watu kuwa sawa.Tena,nilidhani wataelimisha wananchi katiba iliyopita sababu ndiyo "burning issue",wao wanapiga kampeni za ubunge za miaka mi3 ijayo,hii haijakaa sawa CUF,hebu twendeni na wakati.
 
Wakati wa kampeni bado. Wahimizeni wananchi wafanye kazi kujiletea maendeleo yao. Hasa hawa wa Rufiji!!
 
Jana nimepita maeneo ya ikwiriri nikashuhudi CUF inapiga kampeni za ubunge wa 2015.Walikuja na slogani inayosema "haki sawa",lakini baadhi yakundi fulani walikua wanatafuta maana ya hiyo slogan,sababu wanaelewa haiwezekani watu kuwa sawa.Tena,nilidhani wataelimisha wananchi katiba iliyopita sababu ndiyo "burning issue",wao wanapiga kampeni za ubunge za miaka mi3 ijayo,hii haijakaa sawa CUF,hebu twendeni na wakati.
hujakaa sawa kuieleza vizuri mada yako tulia eleza kinaga ubaga kila kitu kichotendeka then toa comment zao kama zipo otherwise liachie jukwaa

Walimnadi nani awe mbunge kupitia CUF
 
Chama cha Wananchi CUF kimefanya mikutano ya hadhara katika vijiji vya Mbwale na Ikwiriri na kufanikiwa kupata wanachama wapya wapatao 103 waliohama kutoka CCM wilaya ya Rufiji mkoani wa Pwani,mkutano uliohutubiwa na aliyekuwa mgombea wa CUF Rufiji Bw.Ally Kihambwe na Mbunge wa Kilwa Kusini Mh.Suleiman Bungara.

Katika mikutano hiyo iliyohudhuriwa na na umati mkubwa wa Wananchi wa maeneo hayo Mh.Kihambwe alieleza jinsi gani CCM ilivyoshindwa kutatua matatizo ya watu hao ikiwepo suala la ardhi na mifugo ambapo wafugaji wa maeneo hayo kukosa maeneo ya kufugia.

Pia maeneo mengi ya ardhi ya mashamba yamekuwa yakiporwa na wawekezaji kutoka nje. Naye mbbunge wa Kilwa kusini Mh.Suleiman Bungara (maarufu kwa jina la *****) aliwasihi watazania kutumia muda wa sasa kuipitia vizuri katiba ya sasa na kubainai kero ambazo watataka katiba mpya iziondoe .

CUF imekuwa kwenye ziara ya mikutano katika wilaya ya Rufiji mkoani Pwani zenye lengo la kujenga Chama na kutoa elimu kuhusu suala la katiba mpya tangu Jumamosi ya tarehe 11/02/2012 na inaendelea katika mikoa mingine ya Tanzania.
 
Chama cha Wananchi CUF kimefanya mikutano ya hadhara katika vijiji vya Mbwale na Ikwiriri na kufanikiwa kupata wanachama wapya wapatao 103 waliohama kutoka CCM wilaya ya Rufiji mkoani wa Pwani,mkutano uliohutubiwa na aliyekuwa mgombea wa CUF Rufiji Bw.Ally Kihambwe na Mbunge wa Kilwa Kusini Mh.Suleiman Bungara.
Katika mikutano hiyo iliyohudhuriwa na na umati mkubwa wa Wananchi wa maeneo hayo Mh.Kihambwe alieleza jinsi gani CCM ilivyoshindwa kutatua matatizo ya watu hao ikiwepo suala la ardhi na mifugo ambapo wafugaji wa maeneo hayo kukosa maeneo ya kufugia.Pia maeneo mengi ya ardhi ya mashamba yamekuwa yakiporwa na wawekezaji kutoka nje.Naye mbbunge wa Kilwa kusini Mh.Suleiman Bungara(maarufu kwa jina la *****) aliwasihi watazania kutumia muda wa sasa kuipitia vizuri katiba ya sasa na kubainai kero ambazo watataka katiba mpya iziondoe .CUF imekuwa kwenye ziara ya mikutano katika wilaya ya Rufiji mkoani Pwani zenye lengo la kujenga Chama na kutoa elimu kuhusu suala la katiba mpya tangu Jumamosi ya tarehe 11/02/2012 na inaendelea katika mikoa mingine ya Tanzania

Source: Karibu Kwenye Tovuti ya CUF!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom