Elections 2010 CUF na CHADEMA waungane

Status
Not open for further replies.
sio lazima kuungana ila cuf wanaweza tu kujitoa kwani hakuna haja ya wao kugombea urais labda kule visiwani......................kumbuka cuf ni chama cha kidini mno kwa hiyo hawawezi kuchanganywa hawa kwani wao wanafikiria kitu kimojas tu wakishika dola yaani....oic na mahakama ya kadhi..........
wacha wafe peke yao tuachieni chadema yetu ikiongozwa na mkuu sana DR.SLAA...Nami mimefurahishwa sana na uteuzi huu wa chadema
Hivi wewe na Malaria Sugu mna tofauti gani?...ni Vema ukawatanabaisha wananchi vizuri DINI ya CUF ni ipi ili wawe makini wakati wa Uchaguzi.
 
Coalition ya CUF na CHADEMA litakuwa ni wazo zuri kabisa; lakini sjui kama wanasiasa wa kwetuwatakubaliana na wazo hilo hasa kwa vile kuna element ya ruzuku ambayo hukokotelwa kutokana na kura za uchaguzi mkuu.
 
Na hii habari inayozungumziwa ya MSETO huko zenji itakuwaje in case CHADEMA wakiamua kuungana na CUF, ilhali mseto huo unasemekana ni wa CUF NA CCM tu?...naomba kujuzwa!
 
Wandugu, baada ya kumpata mgombea makini kutoka CHADEMA, nafikiri kwamba sasa ni wakati mzuri kwa CUF kuamua kumuunga mkono bwana huyu. Na katika kutekeleza hilo, napendekeza msemaji wa kambi ya upinzani bungeni (Rashid) awe ni mgombea mwenza. Nafkiri kuna haja ya Lipumba kuamua kujitoa katika nafasi anayotaka kugombea. Kuna haja gani ya kugombea ili hali anajua kabisa anasindikiza tu? Ni mawazo tu, tunaweza kujadili hapa, pengine hoja zetu zitamfanya Lipumba atangaze kujitoa na kumuunga mkono Dr Slaa.

Mkuu kuungania ni vizgumu sana, lakini kushirikiana naona kuna uwezekano. Na uwe ni ushirikiano wa kweli usiwe wa opportunity uwe wa necessity. Kama Lipumba anaamua kumuunga kono Slaa basi CUF wakubali kumpigia kampeni.

Lakini kwa kuwa chama cha CUF ni chama cha kiislamu [DE FACTO] sioni kama kuna anything in common between them, utakuwa kama ni muungano kati ya maji na mafuta. Mitizamo tofauti maelngo tofauti na hata njia tofauti, kwa ujumla haiwezekani kabisa CUF na CHADEMA kushirikiana. Kama ingekuwa CUF na NRA ingekuwa jambo rahisi kabisa.
 
Coalition ya CUF na CHADEMA litakuwa ni wazo zuri kabisa; lakini sjui kama wanasiasa wa kwetuwatakubaliana na wazo hilo hasa kwa vile kuna element ya ruzuku ambayo hukokotelwa kutokana na kura za uchaguzi mkuu.

Mkuu Kichuguu, pamoja na kwamba kuungana kwa vyama hivi kungekuwa jambo zuri lakini tatizo ninaloliona si ruzuku bali mitizamo ya hivi vyama viwili. Kuna huu mwafaka wa CUF na CCM kule Zanzibar na yaelekea kampeni zimepamba moto hivi vyama viwili vishirikiane lengo likiwa ni uwezekano wa kuunda serikali ya mseto. Sina hakika kama Chadema wanaliafiki jambo hili kwani nielewavyo sidhani kama na wao ama wako tayari kwa hilo la kushirikiana na hicho chama cha mafisadi au hata kufikiria uwezekano huo kwa sasa.

Ugumu mwingine unaletwa na huu mjadala wa serikali ya mseto baina ya CUF na CCM mpaka sasa umeendeshwa bila hata kukihusisha chama cha Chadema, hali ambayo haijengi mazingira mazuri ya kuwezesha mazungumzo ya kuaminiana kuhusu muungano wowote ule. Kwanza nafikiri sitakosea nikiiangalia CUF kama chama kilichosalimu amri na kiko tayari kufunika kombe mradi wanagawana keki na mahasimu wao na hawana nia ya kweli ya kuiondoa CCM madarakani. Nigewaomba Chadema wachukue tahadhari kubwa katika maongezi yoyote yale baina yake na CUF wasije watatumbukia kwenye mtego wa CCM kama CUF.
 
That should be taken so cautiously, manake gari ya CHADEMA ishashika kasi, na ya CUF pia. Kuungana ina maana wastop gari zao ili watu wa CUF wajibanze ndani ya gari ya CHADEMA. That may take considerable time and may make all of them late to take the same speed again... Unajua Dr. Slaa na tim yake wameshapanga kwenda mikoani kutafuta wadhamini, naamini CUF nao vivyo hivyo.... Sasa fikiria waanze sasa hivi vikao hadi kufikia maridhiano. I worry this should be too late...
 
Lakini kwa kuwa chama cha CUF ni chama cha kiislamu [DE FACTO] sioni kama kuna anything in common between them, utakuwa kama ni muungano kati ya maji na mafuta. Mitizamo tofauti maelngo tofauti na hata njia tofauti, kwa ujumla haiwezekani kabisa CUF na CHADEMA kushirikiana. Kama ingekuwa CUF na NRA ingekuwa jambo rahisi kabisa.

Tuogope sana kujudge vitu kwa base za udini brother, that is lethal to our nation...
 
Ni wazo zuri la kuungana lakini mimi simuamini vizuri Dr.Slaa namuona kama sio mtu makini sana siasa zke mara nyingi ni za mihemkwo(emotional) kama za kina kilango,sendeka na wengine ambao hujali zaidi misifa kuliko nchi ingawa zinasaidia kiasi.Wakristo wengi wasiomakini na walewachangiaji ambao hawana akili za kuanalyse mambo ambayo kimsingi naona kama wanachangia hapa kwa kufuata mkondo tu hawajui hata wanalo liongea wanashikilia BANGO CUF ni chamacha KIISLAAM na hakiwezi kuungana na chadema basi msikatae watu wanavosema chadema ni chama KATOLIKI na walioTOA HOJA hii wanijenga kwa hoja madhubuti kabisa.Ache ujinga uwo kuweni wanamageuzi wakweli acheni kukumbatia hoja za kipuuzi zinazotolewa na mashushu,tena sometimes wanaotoa hoja za cuf ni chama cha kiislam wanaelimu ya chuo(SHAME ON THEM-WAJINGA WAKUBWA!!!) mnashusha hadhi ya elimu kwa uwoni wenu mdogo lakini ndo ukubwa wa elimu ya tanzania watu wakitupiwa jambo na ccm utaona kila sehemu linaonelewa ilo ilo kwa hoja zile zile iwe sokoni kwa wauza magenge,kwa wamachinga,vyuo vikuu,makanisani,misikitini...hoja na maneno ndo ayo ayo tu HONGERA NYERERE UKO ULIKO UMEFANIKIWA KUWANYA WATANZANIA MAZEZETA akili zao zinabakia kuchezewa tu na watawala wa chama chako ulichokipenda ccm yako wanakuita BABA YAO WA TAIFA.Kwa kuwa saidia angalau someni maandishi ya watumakini kama ndimara Tegambwaga someni gazeti la leo la MWANAHALISI MAKALA iliyo ukurasa wa 3 kichwa cha habari MSIMU WA MASHUSHU HUU HAPA.
 
Kila Chama kina nafasi yake ila watu ndio wenye maamuzi ya mwisho ila kama watu wakiamua bila ya kujali wanaweza kuchagua CHADEMA
 
Mkuu kuungania ni vizgumu sana, lakini kushirikiana naona kuna uwezekano. Na uwe ni ushirikiano wa kweli usiwe wa opportunity uwe wa necessity. Kama Lipumba anaamua kumuunga kono Slaa basi CUF wakubali kumpigia kampeni.

Lakini kwa kuwa chama cha CUF ni chama cha kiislamu [DE FACTO] sioni kama kuna anything in common between them, utakuwa kama ni muungano kati ya maji na mafuta. Mitizamo tofauti maelngo tofauti na hata njia tofauti, kwa ujumla haiwezekani kabisa CUF na CHADEMA kushirikiana. Kama ingekuwa CUF na NRA ingekuwa jambo rahisi kabisa.
Mawazo kama haya ndio hutusambaratisha zaidi.. CUF inatetea maslahi ya Zanzibar zaidi ambako asilimia 90 kamasii zaidi ni waislaam basi tayari kimeisha kuwa chama cha Waislaam. what about Chadema ukikitazama kwa jicho kama hili utasema ni chama cha kina nani after all tumemsimamisha mtu ambaye CUF wanaweza kutumia karata hiyo hiyo ya Udini tukapoteza mwelekeo kabisa..Jamani pleeeease!
 
sio lazima kuungana ila cuf wanaweza tu kujitoa kwani hakuna haja ya wao kugombea urais labda kule visiwani......................kumbuka cuf ni chama cha kidini mno kwa hiyo hawawezi kuchanganywa hawa kwani wao wanafikiria kitu kimojas tu wakishika dola yaani....oic na mahakama ya kadhi..........
wacha wafe peke yao tuachieni chadema yetu ikiongozwa na mkuu sana DR.SLAA...Nami mimefurahishwa sana na uteuzi huu wa chadema

Ni kweli mzee Julie79 bora tuchague tu Padri Slaa, kwani huyu ni mkristo mwenzetu!
Umesema ukweli kabisa yaani hatuhitaji mwisilamu kabisa kwenye serikali yetu. bwana asifiwe.
 
can you explain why NOT the other way round??

we prondo utakuwa mnafiki tu huna issue
lipumba anatakiwa ajitoe awaachie Dr. Slaa na Hamadi Rashid kwani wanaweza kubadilisha Upepo! Hamadi Rashidi ameonyesha Uwezo kuliko hata Lipumba
 
Ni kweli mzee Julie79 bora tuchague tu Padri Slaa, kwani huyu ni mkristo mwenzetu!
Umesema ukweli kabisa yaani hatuhitaji mwisilamu kabisa kwenye serikali yetu. bwana asifiwe.

hizo kauli za kidini hazitakiwi kama hamna cha kujadili bora mkae kimya
huo ni upungufu wa akili kichwani aka UWAKI
 
naona majadiliano yaliyoko katika hii topic ni udini na pumba nyingi! moderator bora ukaifuta hii topic
 
Hapa ndipo tulipofikia
Kisa anaitwa Ibrahim Lipumba,sijui kama angeitwa sheikh Ibrahim Lipumba ingekuwaje.
Hili zimwi la udini linaandaliwa na CCM,tutasikia sana Askofu Slaa,ndipo uta feel double standard ya CCM.
Hii kitu ya udini imefikia at alarming level.....we just take it easy>>>>>>>>>gonna back fire
 
Moderator na wakuu,
Naomba msome posting hizi: Mkandara#30, kichuguu#22, Mag3# 25, Ramos #26,27, meliki# 33,34, qadhi# 35 [ahsanteni sana kwa werevu wenu]

Halafu soma Bongolander#24, juzamo#28,ngwendu #31. Hebu mtu aniambie kama hawa watu wana hekima au akili timamu. Naomba kuuliza hivi hawa ni watanzania kweli?
Moderator futa thread zenye muelekeo wa kuligawa taifa. Inasikitisha sana!
 
Mkuu kuungania ni vizgumu sana, lakini kushirikiana naona kuna uwezekano. Na uwe ni ushirikiano wa kweli usiwe wa opportunity uwe wa necessity. Kama Lipumba anaamua kumuunga kono Slaa basi CUF wakubali kumpigia kampeni.

Lakini kwa kuwa chama cha CUF ni chama cha kiislamu [DE FACTO] sioni kama kuna anything in common between them, utakuwa kama ni muungano kati ya maji na mafuta. Mitizamo tofauti maelngo tofauti na hata njia tofauti, kwa ujumla haiwezekani kabisa CUF na CHADEMA kushirikiana. Kama ingekuwa CUF na NRA ingekuwa jambo rahisi kabisa.
Mkuu sina uhakika kama CUF ni chama cha kiislam. Ukisema hivyo unataka kusema CHADEMA pia ni chama cha Kikrito? Kama CHADEMA ni chama chenye wakrito na waislamu basi haitakuwa shida kwake kuwa na umoja na CUF ambayo pia ina wakristo na waislamu. Sidhani kama wanachama wote wa CUF ni waislam, ila naamini kwamba vyama hivi vinazidiana kwa idadi ya wanachama wa dini hizo mbili. CUF ikiwa na waislam wengi zaidi na huku CHADEMA ikiwa na wakrito wengi zaidi lakini vyote vikiwa na wanachama wa dini zote. By the way makamu mwenyekiti wa CHADEMA ni muislam kama sikosei. Sasa ni nini kitazuia wasiungane? Na zaidi ya yote, hapa kinachoangaliwa si dini bali ni potentiality ya watu waliopo katika hivyo vyama viwili katika kuliletea taifa maendeleo ya kweli.
Ningetamani sana tuweke kando mjadala wa dini katika thread hii badala yake tuangalie zaidi maslahi ya Taifa.
 
Ni kweli mzee Julie79 bora tuchague tu Padri Slaa, kwani huyu ni mkristo mwenzetu!
Umesema ukweli kabisa yaani hatuhitaji mwisilamu kabisa kwenye serikali yetu. bwana asifiwe.

Ngwendu, are you serious?! How can you dare to say this? Una umri gani mkuu? Kama wakristo watachagua Rais wao na waislam wakachagua Rais wao ni nini kitakachoendelea? Hebu tukue kimwili na kiakili jamani? Kauli gani hizi?!
 
Waache kujitenga, vyama vyote vinavyoonekana kuwa na ushawishi wa nguvu viungane, nadhani Mh Lipumba asamehe mwaka huu ampishe slaa ili aje aukwae uwaziri wa Fedha ambayo ndo fan yake na ni mtaalam haswaaa. Hamad awe boss namba mbili, Maalim kule awahenyeshe zenj kama kawa.
Harafu tuone sasa october kivumbi chake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom