CUF na CHADEMA kipi Chama bora?

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
Naomba hapa tuwe wakweli. Hivi CUF na CHADEMA kipi chama bora na imara.
1. Chenye sera nzuri
2. Kilicho realistic
3.Kinaweza kuongoza nchi

Tafadhari naomba kila anayechangia atoe sababu. Sio kusema chama fulani bila sababu sawa?
 
Loh kwani nilazima kilaunachokifikiria ukiandike humu hata kukąa kimya ni busara pia.
 
mfu na aliye hai nani ni bora??

Hapo toa chama kipi bora. Je unaposema mfu nani mfu?
Chadema mfu? CUF mfu?
Ukiongelea CHADEMA mfu mbona ina washa moto tanzania Bara?
Ukiongelea CUF mfu mbona Moto hauzimiki Tanga, Dar, na Visiwani?

Please nomba isikalili Soma alama za nyakati.
 
Duh.. Unaishi sayari gani ati? Yaani kati ya cuf na chadema hujui nani mfu.. Lipumba yuko wapi kwanza watu wameshamsahai zamani .. Seif ndio kabisaa kaolewa na ccm kanyamaza anawafadhili uamsho kimya kimya ili waichukue zanzibar yao.una la kusema tena?
 
Ila udini na majungu eti?

hahaha!! issue ya udini chadema si ndio nyumbani ... rejeo tamko la muasisi wa CDM ... na ile kauli ya LEMA arusha kwamba watu wa arusha wawe makini na wanao vaa ma baibui na kujistri kiislam kwani ni alshabab... need to say more! ? hilo bandiko lipo humu JF
 
kwani cuf inasimama kama chama .... inasimama kama mke wa chama cha jembe na nyundo
 
Duh.. Unaishi sayari gani ati? Yaani kati ya cuf na chadema hujui nani mfu.. Lipumba yuko wapi kwanza watu wameshamsahai zamani .. Seif ndio kabisaa kaolewa na ccm kanyamaza anawafadhili uamsho kimya kimya ili waichukue zanzibar yao.una la kusema tena?

Unauhakika na unachosema au unasema sema tu. Je mtu kukaa kimya ndio kafa? Kila chama kina mbinu zake. Na unaposema kuolewa na CCM hivi wewe uko unajua au unahisi. komaza akili mdogo wangu acha ushabiki sawa?
 
Hapo toa chama kipi bora. Je unaposema mfu nani mfu?
Chadema mfu? CUF mfu?
Ukiongelea CHADEMA mfu mbona ina washa moto tanzania Bara?
Ukiongelea CUF mfu mbona Moto hauzimiki Tanga, Dar, na Visiwani?

Please nomba isikalili Soma alama za nyakati.

heeh! vipi jamani mbona unanilazimisha nijibu unachokitaka wewe???
Kama una majibu yako kwa nini umeuliza sasa??
Narudia tena, mfu na aliye hai nani bora???
 
Sizani kama mleta mada anajua anacho kiandika! Kulinganisha mfu na mtu hai
 
kutulinganisha na CUF umetukosea adabu mkuu tena sana PAMOJA NA NENO UBORA kuwa relative term CHADEMA sio chama bora tu bali ni CHAMA BORA NA MAKINI
 
kutulinganisha na CUF umetukosea adabu mkuu tena sana PAMOJA NA NENO UBORA kuwa relative term CHADEMA sio chama bora tu bali ni CHAMA BORA NA MAKINI
Toa maelezo na mifano yake plz...
 
Back
Top Bottom