cuf na chadema adui yenu ni ccm

masasi

Member
Aug 3, 2010
48
0
ni vyama vyenye wafuasi wengi,viongozi wenye weledi mzuri,ni wakati wa wanachama na viongozi wa vyama hivyo kuachana na kujiundia upinzani vyenyewe bali viunganishe nguvu zao kuiondoa ccm madarakani,nia zikiwa moja kilichombali huja,tunataka mabadiliko na cuf na chadema kuungana sasa
 
Back
Top Bottom