Cuf mlikuwa hamjui kama mbakaji hajui kubaka polepole au taratibu?

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
Siku mbili sasa kumekuwa na taarifa za maandamano ya nchi nzima yanayoandaliwa na cha cha wananchi (cuf) kupinga ukikwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi ,nimeshaangaa kwa sababu walishawahi kupinga maandamano ya cdm kwa matamko makali,mwaka 2007 kule zanzibar polisi haohao wa serikali ya ccm waliwaua wafuasi wa cuf waliokuwa wakiandamana,mwaka huu arusha wakaua wafuasi wa cdm,sasa mlitegemea kuwa kutokana na ndoa ya ccm na cuf zanzibar,huku bara wangewabaka(watandika) polepole polisi?mwalimu wangu wa siasa alishawahi nipa mfano alipokuwa akifanananisha serikali inayotumia nguvu ni sawa na mbakaji akikubaka hata mara 3 atatumia nguvu tu?kwa hiyo mlikuwa hamjui kwamba serikali ya ccm nisawa na mbakaji?msitegemee kupata favour kutokana na ndoa ya zanzibar wakitaka kubaka (kupiga na kuua) hawataangalia nani cdm na nani ni cuf,watabaka tu kwa nguvu ili mradi wabaki madarakani njia zzte zile hata kama sio halali.
 
Hii kali lakini ni kweli.Mwenzako akinyolewa ........................CCM ni majamabazi hayajui ustaarabu ni mijitu yenye roho mbaya kama ibilisi baba yao.
 
Siku mbili sasa kumekuwa na taarifa za maandamano ya nchi nzima yanayoandaliwa na cha cha wananchi (cuf) kupinga ukikwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi ,nimeshaangaa kwa sababu walishawahi kupinga maandamano ya cdm kwa matamko makali,mwaka 2007 kule zanzibar polisi haohao wa serikali ya ccm waliwaua wafuasi wa cuf waliokuwa wakiandamana,mwaka huu arusha wakaua wafuasi wa cdm,sasa mlitegemea kuwa kutokana na ndoa ya ccm na cuf zanzibar,huku bara wangewabaka(watandika) polepole polisi?mwalimu wangu wa siasa alishawahi nipa mfano alipokuwa akifanananisha serikali inayotumia nguvu ni sawa na mbakaji akikubaka hata mara 3 atatumia nguvu tu?kwa hiyo mlikuwa hamjui kwamba serikali ya ccm nisawa na mbakaji?msitegemee kupata favour kutokana na ndoa ya zanzibar wakitaka kubaka (kupiga na kuua) hawataangalia nani cdm na nani ni cuf,watabaka tu kwa nguvu ili mradi wabaki madarakani njia zzte zile hata kama sio halali.

Na hule wakati wazanzibari (cuF) walipouliwa chadema walichukua hatua gani vile?
 
Ndugu Albimany, ni haki kuuliza hilo swali maana una mwezi mmoja tu tangu ujiunge rasmi na JF!! huo upupu kwamba CDM walichukua hatua gani kufuatia mauaji ya CCM-Police Zanzibar, mbona ilishajadiliwa sana hapa JF?
 
Lengo la Chama cha siasa chochote ni kukamata dola milele. Kwa hiyo chama chochote cha upinzani kikirahisi, lazima chama tawala ikibomoe kwa urahisi tu. CUF walijirahisi ndo maana sasa CCM inahagaika na CDM.
 
Ndugu Albimany, ni haki kuuliza hilo swali maana una mwezi mmoja tu tangu ujiunge rasmi na JF!! huo upupu kwamba CDM walichukua hatua gani kufuatia mauaji ya CCM-Police Zanzibar, mbona ilishajadiliwa sana hapa JF?

Sio mbaya akikumbushwa, kuwa mgeni haina maana walichojadili kabla hujafika usiulizie. Mpe tu kwa muhtasari.
 
Na hule wakati wazanzibari (cuF) walipouliwa chadema walichukua hatua gani vile?
walipinga mauaji kwa kutoa tamko la kuilaani serikali

sasa swali kwako, hivi serikali ilipoua watu nyamongo na arusha kafu walifanya nini vile??
 
CUF wamepoteza dira kabisa wako gizani wao walijua wamefunga ndoa halali kumbe ilikuwa ni ya kubakana. Nilishawai kusema humu JF Sitakaa nimwamini Sharif Hamad yule ni mroho wa madaraka tu.
 
Nimeipenda hii,ni ukweli kabisa,kuna watu wakiambiwa pale kuna ukuta hawaelewi hadi waugonge,
 
Sasa ni muda muafaka kwao kutubu na kujisalimisha chini ya Makamanda wa CDM na kupanga mikakati ya pamoja ya kuparua MAGAMBA kwa ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi la sivyo wataendelea kubakwa milele.:mimba::mimba:
 
Na hule wakati wazanzibari (cuF) walipouliwa chadema walichukua hatua gani vile?

Mbona hiyo ishu ilishajadiliwa sana nahisi wewe na ugeni wako ndio unaokusumbua halafu na kiherere ndio tatizo...
Wakati mwingine uwe unapenda kusoma kwanza kuliko kuanza kuchangia.
Tafuta Signature ya Invisible halafu isome itakusaidia!
 
Back
Top Bottom