kinyesi.Taarifa za uhakika nilizopata ndani ya chama kinachomomonyoka (CUF) ni kwamba clique ya Seif-jussa-Mtatiro imetenga karibu Sh 500 milioni kwa ajili ya mapokezi ya Prof Lipumba Jumapili.
Nadhani waishio hapa Dar wameona mabango mbali ya Lipumba yakizagaa katika barabara kuu mbali mbali. Hali kadhalika mabasi yamekodishwa tayari kusomba wafuasi kutoka Tanga na sehemu zingine zenye wafuasi wa chama hicho hasa vijiji kutoka bararabara iendayo Lindi.
Lengo ni kuhakikisha Lipumba aone kwamba CUF bado iko imara, haipukutiki, ni wasaliti wachache waliojiondoa au kuogopa kuondolewa ndiyo wanaleta shida.
Mtoa habari wangu pia kanidokezea kuwa nyingi ya hela hizo zilikuwa zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Ubunge Arumeru na viti vya udiwani katika kata nyingine mbali mbali.
CUF imejitoa katika ugombea wa Arumeru na kupunguza sana pesa za kampeni katika ugombea wa madiwani kwa ajili ya kufanikisha mapokezi hayo.
Nawasilisha.