CUF kutumia Helikopta (chopa) ktk kampeni Igunga

ahaaa.wakati cdm wanakampeni na chopa .....walianza ccm kusema kutumia helkopta ni ubarifu baadae wakaanza na wao kuja na tatu toka south sasa cuf do...mungu ibariki cdm

kirungi umechemka sana! Mgombea wa CDM ni mzawa wa igunga! CUF kuchukua jimbo la igunga NI NDOTO YA BUNUAZI AIOTAYO MCHANA KWEUPE! TENA JANGWANI.

Hapo cuf wanaiga tembo ,na watakuwa wamepewa chopa na ccm ili upinzani wagawane kura na ccm ishinde kiuraisi .Hawa cuf watatumika mpaka line?

Mkuu hapo kwenye red we acha tu kama ilivyo , hao ni wana ndoa atii,

Mkimaliza kampeni zenu mnatuachia hizo chopa Igunga tubebee wagonjwa wetu kwani bajaj huku hazifai barabara ni mbaya sana

Hawa CUF ndiyo watakao sababisha jimbo liende ccm....maana hapa kuna harufu ya cuf na cdm kugawana kura.
Kama kungekuwa na uwezekano ni kheri tu cuf wangewaachia cdm. Huu ni mtizamo wangu tu

Kumbe cuf vita mnaiiweza ee ,coz huwezi pambana na mwenye bunduki ya smg kwa kutumia fimbo.matokeo yake ni kilio.

Hawa CUF ndiyo watakao sababisha jimbo liende ccm....maana hapa kuna harufu ya cuf na cdm kugawana kura.
Kama kungekuwa na uwezekano ni kheri tu cuf wangewaachia cdm. Huu ni mtizamo wangu tu
acha baised idieas.Kwa nini cdm wasingeiachia CUF coz mwaka jana mgombea wa cuf ndo alipambana na rostam. CDM hawakusimamisha mgombea.So cuf na mgombea wao(MAHONA) tayari wana wanamtaji wa wapigakura na network nzuri ya chama na watu wanamfahamu sana mgombea wa CUF na anakubalika sana.

Siasa bana yaani wakazi wa Igunga wanakufa nyaa jamaa wanaenda kufanya kampeni kwa helikopta, kama wangeamua kutoa misaada ya mahindi kwa hao jamaa lingekuwa jambo la msingi mmno. Siungi mkono matumizi mabaya ya fedha just kumwezesha mtu mmoja kwenda Dodoma

acha baised idieas.kwa nini cdm wasingeiachia cuf coz mwaka jana mgombea wa cuf ndo alipambana na rostam. Cdm hawakusimamisha mgombea.so cuf na mgombea wao(mahona) tayari wana wanamtaji wa wapigakura na network nzuri ya chama na watu wanamfahamu sana mgombea wa cuf na anakubalika sana.

...cuf mwisho chumbe!!!

Hicho chama cha kisultani hakina kazi bara!!!...watu wameshashtuka!.....

acha baised idieas.Kwa nini cdm wasingeiachia CUF coz mwaka jana mgombea wa cuf ndo alipambana na rostam. CDM hawakusimamisha mgombea.So cuf na mgombea wao(MAHONA) tayari wana wanamtaji wa wapigakura na network nzuri ya chama na watu wanamfahamu sana mgombea wa CUF na anakubalika sana.

mkuu kura za uchaguzi uliopita zitachanganywa na zitakazopigwa uchaguzi huu mdogo?

CUF ndio walioibeba chadema na ndio watakao iua.

wangekuwa na hiyo turufu wangeshaitumia, cuf nawafananisha na diezel kwenye gari, ukiliwasha gari diezeli inaanza kuteketea kuelekea kwisha!

kirungi umechemka sana! Mgombea wa CDM ni mzawa wa igunga! CUF kuchukua jimbo la igunga NI NDOTO YA BUNUAZI AIOTAYO MCHANA KWEUPE! TENA JANGWANI.

hujui lolote kwa taarifa yako MAHONA wa CUF ni mzaliwa wa IGUNGA na mkazi wa igunga kwa muda mrefu

Back
Top Bottom