CUF kupeleka katiba kwa maandamano

Mkuu najua sana lengo lako wewe die hard cdm, christian fundementalist nimest tu..nyie ndio mnafurahisha..hivi unafikiri kwa kusema hayo utanitisha long time tumeshavuka hayo matisho..tuko mbali sana hapo...huo tunauita umbeya wa kawaida mitaani na huko kwenu

amerudi bila data zozote zile..... @topical... hivi mohamed atta .... wa sept 11 ni ndugu yako au ni wewe? .... mnafanana sana
 
Inabidi kwanza tuanze kufahamiana vizuri kumbe nyie ni wale wale Dar Es Salaam type

Mimi ni mwanamageuzi wa siku nyingi napenda kugombea ubunge kupitia CUF mwaka 2015 jimbo moja mkoani manyara, vipi uungwaji wa CUF huko na mikakati gani natakiwa kufanya kuanzia sasa?

Tuache jokes niko serious!
 
Kwani wewe wamekuambia uje na fasheni gani ya kupinga katiba mpya, utaweza? if you can't fight join 'em, simple is what Mkapa, Jaji Mkuu, and other prominet CCM members has decided to follow.

Hao wanaimba wimbo tu na wenyewe ....si angeanza alipokuwa rais...why now? anaimbishiwa naye anaitikia ...

Fasheni yangu ni kuhoji..hiyo katiba itanisaidia nini? maji, umeme, barabara au? au ni...cha maana ambacho sikipati sasa?
 
Mkuu najua sana lengo lako wewe die hard cdm, christian fundementalist nimest tu..nyie ndio mnafurahisha..hivi unafikiri kwa kusema hayo utanitisha long time tumeshavuka hayo matisho..tuko mbali sana hapo...huo tunauita umbeya wa kawaida mitaani na huko kwenu
Am not where you want me to belong am a true patriotic Tanzanian who is against unyanyasaji , ufisadi, religious fundamentalism of any kind whether christian or islamic.
 
Hao wanaimba wimbo tu na wenyewe ....si angeanza alipokuwa rais...why now? anaimbishiwa naye anaitikia ...
I told you if you can't fight join 'em, what Mkapa is doing na wengine kina Lowassa is to catch the train before is too late.
 
suicide plane hijacker... Topical kashiriki naa Dr. Al zawahiri na mohammed atta who is now answerable in hell..... you are a martyrdom.... mbona haukatai..... hii katiba haikuhusu kwani wewe ni extremist who is totally in insane
 
Am not where you want me to belong am a true patriotic Tanzanian who is against unyanyasaji , ufisadi, religious fundamentalism of any kind whether christian or islamic.

Kama una amini hivyo kuna tatizo gani ku-against new constitution as Tanzanian...

I am also a True patriotic Tanzanian
 
quote_icon.png
Originally Posted by Topical
Mimi ni mwanamageuzi wa siku nyingi napenda kugombea ubunge kupitia CUF mwaka 2015 jimbo moja mkoani manyara, vipi uungwaji wa CUF huko na mikakati gani natakiwa kufanya kuanzia sasa?

Tuache jokes niko serious!
Wewe ni mtu wa ajabu kweli unataka kugombea ubunge kupitia CUF wakati hutaki kuwaunga mkono wakati wa kuandamana kudai katiba mpya.
 
destination is Waziristan to consult Al Zawahiri.... regarding Martyrdom acts
 
A train to where?

You got to have known the destination first?
If up to now you don't know the destination of the train called KATIBA then keep on waiting the next train, wenye akili tunapanda siku Kikwete atakapoingia mtabaki wewe na Makamba na Kombani.
 
If up to now you don't know the destination of the train called KATIBA then keep on waiting the next train, wenye akili tunapanda siku Kikwete atakapoingia mtabaki wewe na Makamba na Kombani.

Sawa tu mpande, wafuata fashion
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom