CUF kupeleka katiba kwa maandamano

Hawa Ndondocha nao kwanini wasiungane na waislamu wenzao kuandaa katiba yao feki! CCM B at work

Moja katika alama za mtindio wa ubongo ni hizi. Na unaconfirm kuwa Chadema ndio chama chenu wakristo na ndio wazalendo wa kweli kwa mtazamo wako mbovu Rubbish!!!! Ndio maana mie hizi harakati za kutaka katiba mpya siziungi mkono maana sidhani kama zina maslahi ya Tanzania bali ni kunufaisha watu wa kundi fulani tu. Kunahitajika mjadala wa kuyadiscuss haya mambo otherwise wakikosea hakuna lamaana litakalo fanyika.
 
CUF jitokezeni hadharani mtuambie rasimu ya katiba mpya imebeba nini ndani yake.........Hatuwezi kushangilia kitu ambacho ndani yake hatujui kime kaa vipi! tunakosa kuwa na imani ya kutosha na CUF kama mna mtazamo wa kitaifa au kimaeneo zaidi.......Teteeni yanayo semwa juu yenu ilitujue kuwa mnaonewa na mnafedheheswa kwa kuambiwa ninyi ni CCM-B na hiyo rasimu imetokea msikitini.

Please come out and redeem yourself from these allegations
 
ukitaka kujua kuwa cdm si wanmapambano just wanataka ujiko angalia hapa

walitaka kuwadanganya wananchi kuwa wao ndio walioanzisha haya mapambano ya katiba mpya sasa hawatopenda kujiunga mkono kwa maana watu watajua kuwa mapambano hayo yalikuwepo muda mrefu na wao hawakuwa sehemu ya mapambano hayo
Kama yalikuwepo ina maana kaf hawakujali kitu kuyaendeleza, maendeleo yoyote hayategemei nani kaanzisha yanategemea nani anayaendeleza, unaweza kuweka jiwe la msingi likaakaa milele kama hakuna mtu wa kuendeleza ujenzi.
 
<br />
<br />
Umedhihirisha ambalo wengi hawataki kulikiri, shida hapa sio katiba mpya wala uchungu na TZ. Basi subiri, Askofu Malasusa, Kadinali Pengo, na Padri Slaa wanamalizia ya kwao itakayowasilishwa na chama chao CHADEMA
Mdahalo uliofanywa ITV kati ya Mbowe na Kiongozi wa kambi ya upinzani aliyemaliza muda wake, Mbowe aliulizwa kwa nini msinge tumia njia nyingine za kistarabu kudai ratiba mpya kuliko hii ya kutoka nje wakati rais anahutubia alijibu;
Mwaka 1995 NCCR kilikuwa na nguvu kikatumia kikatumia njia za kistaarabu hakikufanikiwa, 2000 hadi 2005 CUF, CHADEMA wakaingilia kati lakini bado hakukuwa na mafanikio.
CDM inatambua mchakato wa katiba ni wa watu wote wanoitakia mema TANZANIA ndio maana kina Warioba, Lowasa, Tendwa na wengine walioko CCM au wasio CCM walipo changia CDM haikuwashangaa
 
Wait a minute!

Katiba mpya italeta umeme vijijini na mjini

Katiba mpya italeta barabara mjini na vijijini

Katiba italeta bei za mazao ya wakulima vijijini

au ni:-
Mgawanyiko wa madaraka na jinsi ya kuchagua PM, Waziri, yaani siasa kula/kura

Jengeni hayo mambo kwanza kabla ya kimbelembele ya kufuata mkumbo kwa jambo lisilo na tija
 
Ujinga ni sawa na usiku wa giza hujui katiba ni sheria mama wa yote unayoyasema pole sana.
 
Wakuu,

Ilipoanza wastaafu na WanaCCM kutoa kauli juu ya katiba Mpya, wengine humu JF walianza kufurahia kusema Mkapa pia anataka katika mpya. Nilijaribu kuwastua, "Jamani eee, CCM ndio wanaiteka nyara hoja hiyo!!"

Nikashauri, La Kufanya kwa haraka ni Wapinzani waipanguse mavumbi ile rasimu waliyoitengeneza siku za nyuma ili waiwasilishe kwa Kombani kama kianzio cha mjadala.

Nini kinatokea sasa hivi? Kila chama kinataka kuwa King! Watanzania bado tunafanya mambo kama watoto wadogo.

Hii Rasimu wanayoipeleka CUF nina imani ni hiyo iliyotengenezwa na vyama vya upinzani siku za nyuma. Sasa ,fikiria impact yake kama CHADEMA, CUF, NCCR, TLP, TADEA, UDP na vyengine wangeshirikiana kuiwasilisha kwa pamoja na umma ambao ungejitokeza.

Viongozi wa upinzani wanawaangusha wananchi. Ubinafsi wa kichama hautasaidia katika kuipa serikali pressure ya kutosha kuona haja ya Katiba Mpya!

Katika hali hii CCM watendelea kupeta.
 
sheria mama ndio..naona kama kibwagizo ambacho wajinga fulani wameombwa kuimba nao wakaanza kuimba...

Katiba haina tija Tanzania, iliyopo tu ikifuatwa vizuri inatosha kuleta tija..issue ni kwamba haifuatwi na hakuna anayeweza kuhoji.
 
Wait a minute!

Katiba mpya italeta umeme vijijini na mjini

Katiba mpya italeta barabara mjini na vijijini

Katiba italeta bei za mazao ya wakulima vijijini

au ni:-
Mgawanyiko wa madaraka na jinsi ya kuchagua PM, Waziri, yaani siasa kula/kura

Jengeni hayo mambo kwanza kabla ya kimbelembele ya kufuata mkumbo kwa jambo lisilo na tija

Mkuu,

Hii inayotumika ipo tokea 1977, leo ni 2010 soon 2011. Jee imeweza kutupatia hayo uliyoyaorodhesha hapo juu?

Usikimbie, rudi uitetee Katiba tuliyonayo! na faida zake. pia tuoneshe mapungufu yake.

Au wewe ni mmoja wa wanaofaidika, nufaika na mfumo na katiba iliyopo? kwa hiyo kwako hakuna maana au haja ya kuwa na katiba ya wananchi? Hii iliyopo ni Katiba ya Chama kimoja. Unakijua chama hicho? you guessed right!! Chama chako!
 
sheria mama ndio..naona kama kibwagizo ambacho wajinga fulani wameombwa kuimba nao wakaanza kuimba...

Katiba haina tija Tanzania, iliyopo tu ikifuatwa vizuri inatosha kuleta tija..issue ni kwamba haifuatwi na hakuna anayeweza kuhoji.

wewe ndio haufuati katiba hii unayosema inatosha kwani unawachanganya mambumbu ambapo hapa JF hawapo ,.... point zako kazinadi kwenye gazeti la uwazi linalosomwa na hao wenzako
 
sheria mama ndio..naona kama kibwagizo ambacho wajinga fulani wameombwa kuimba nao wakaanza kuimba...

Katiba haina tija Tanzania, iliyopo tu ikifuatwa vizuri inatosha kuleta tija..issue ni kwamba haifuatwi na hakuna anayeweza kuhoji.
CCM wenye busara zao wanaliona hilo umebaki wewe, lazima utainama tu upende usipende hata kwa fimbo.
 
Ujinga ni sawa na usiku wa giza hujui katiba ni sheria mama wa yote unayoyasema pole sana.

Mkuu,

Topical haonekani kama ni “mjinga”. Anaonekana yuko kazini, kazi ya propaganda.

Ukipitia michango yake katika threads tofauti utagundua hili. Anajaribu kuwavunja nguvu, moyo watu waaamini kuwa wanachodai hakina tija ni bora kuendelea na kile kilichopo.
Kama hafanyi kazi ya propaganda ya chama chake, yaani,kuwakatisha watu tamaa basi Topical angekuwa anakuja na ushauri mbadala au fikra mpya ya nini kifanyike.

Sasa kufanya propaganda si ujinga ni kazi yake (yawezekana yeye ni spin doctor, propangandist, polilitical party strategist au PR officer wa mrengo fulani.)

Kwa hiyo, anajaribu kuwatoa watu katika hoja, au kuwapotezea focus badala ya kujadiliana kwa hoja, basi kwa vile anatumia provocative language watu wataanza kumshambulia, kumkejeli,kumtusi. Kazi yake inakuwa imefana. Anakuwa amefanikiwa.
Mpeni masuali magumu ili ayotolee majibu hiyo ndiyo dawa yake.

Akiingia mitini, mutakuwa mumejua lengo lake ni nini.
 
Hapa CUF wamefanya jambo moja la maana sana na huu ni mwanzo kama nilivyowahi kusema kuwa .la leo lifanywe leo ,pasisubiriwe kitu ,yale mambo ya mikakati hayana nafasi huo ni mwendo mzuri kabisa na natumai wengine msibaki na style ya kupiga makelele ,si lazima mjumuike au muwepo katika kundi moja na CUF ,hapana ningependa kila kona kunachomoza kundi jingine ,kijeshi huwa tunaitaga ambush ,ni lazima kwa hali yeyote ile katika hili yatokeze makundi kila pembe ya Taifa hili la Tanzania kudai katiba mpya.

Let us say Chadema wanashambulia upande wake ,TLP nae anazuka huko NCCR nao wanajitokeza kivyao vyao na taasisi zingine nazo zinachomekea,kwa aina hii watawala hawataweza kupiga stop,haitowezekana na itawawia vigumu kabisa kuliko kusema watu wote wanajiunga pamoja ,aloo guruneti moja tu la CCM litatumaliza sote.

Na kwa vile tunakwenda kwa style ya ambush haya mambo yasiwe hapa Dar tu yawepo mikoa yote ,yaani hata wa huko wao waseme tunawaunga wenzetu wa Dar na kama mnavyoujua moto wa nyasi lazima watawala watafahamu kuwa maembe ni matunda.
 
CUF inajitahidi kurudi ktk mstari ambao iliuvuka. Karibuni sana maana mnaanza kuelewa kelele za wabunge wapinzani waliotoka bungeni mkavikalia viti vyenu haraka haraka. Haya twende mwanzo wa ngoma ni lele
 
Mkuu,

Hii inayotumika ipo tokea 1977, leo ni 2010 soon 2011. Jee imeweza kutupatia hayo uliyoyaorodhesha hapo juu?

Usikimbie, rudi uitetee Katiba tuliyonayo! na faida zake. pia tuoneshe mapungufu yake.

Au wewe ni mmoja wa wanaofaidika, nufaika na mfumo na katiba iliyopo? kwa hiyo kwako hakuna maana au haja ya kuwa na katiba ya wananchi? Hii iliyopo ni Katiba ya Chama kimoja. Unakijua chama hicho? you guessed right!! Chama chako!

Kila moja wetu anafaidika na katiba iliyopo kwakuwa inatumika sasa kwa wote right?

Katiba ya zamani imetupatia yote, jibu hapana naamini hata mpya haitowezi kutupatia yote right?

Katiba ya zamani ina uoungufu jibu ndiyo..kwanini isiwe na upungufu kwani msahafu huu?

Tufanye...tufanye marekebisho bila gharama kubwa

Sababu: pesa zitumike kwa yale niliyoyataja hapo juu!

Zaidi: naona mnapenda kuiga oh kenya, so what? Kenya ni Kenya Tanzania ni Tanzania..nadhani nimekujibu.
 
Mkuu,

Topical haonekani kama ni "mjinga". Anaonekana yuko kazini, kazi ya propaganda.

Ukipitia michango yake katika threads tofauti utagundua hili. Anajaribu kuwavunja nguvu, moyo watu waaamini kuwa wanachodai hakina tija ni bora kuendelea na kile kilichopo.
Kama hafanyi kazi ya propaganda ya chama chake, yaani,kuwakatisha watu tamaa basi Topical angekuwa anakuja na ushauri mbadala au fikra mpya ya nini kifanyike.

Sasa kufanya propaganda si ujinga ni kazi yake (yawezekana yeye ni spin doctor, propangandist, polilitical party strategist au PR officer wa mrengo fulani.)

Kwa hiyo, anajaribu kuwatoa watu katika hoja, au kuwapotezea focus badala ya kujadiliana kwa hoja, basi kwa vile anatumia provocative language watu wataanza kumshambulia, kumkejeli,kumtusi. Kazi yake inakuwa imefana. Anakuwa amefanikiwa.
Mpeni masuali magumu ili ayotolee majibu hiyo ndiyo dawa yake.

Akiingia mitini, mutakuwa mumejua lengo lake ni nini.

Leballing, re-laballing is daily business at this forum...next?
 
Hapa CUF wamefanya jambo moja la maana sana na huu ni mwanzo kama nilivyowahi kusema kuwa .la leo lifanywe leo ,pasisubiriwe kitu ,yale mambo ya mikakati hayana nafasi huo ni mwendo mzuri kabisa na natumai wengine msibaki na style ya kupiga makelele ,si lazima mjumuike au muwepo katika kundi moja na CUF ,hapana ningependa kila kona kunachomoza kundi jingine ,kijeshi huwa tunaitaga ambush ,ni lazima kwa hali yeyote ile katika hili yatokeze makundi kila pembe ya Taifa hili la Tanzania kudai katiba mpya.

Let us say Chadema wanashambulia upande wake ,TLP nae anazuka huko NCCR nao wanajitokeza kivyao vyao na taasisi zingine nazo zinachomekea,kwa aina hii watawala hawataweza kupiga stop,haitowezekana na itawawia vigumu kabisa kuliko kusema watu wote wanajiunga pamoja ,aloo guruneti moja tu la CCM litatumaliza sote.

Na kwa vile tunakwenda kwa style ya ambush haya mambo yasiwe hapa Dar tu yawepo mikoa yote ,yaani hata wa huko wao waseme tunawaunga wenzetu wa Dar na kama mnavyoujua moto wa nyasi lazima watawala watafahamu kuwa maembe ni matunda.

Well said mkuu
 
Mkuu,

Topical haonekani kama ni "mjinga". Anaonekana yuko kazini, kazi ya propaganda.

Ukipitia michango yake katika threads tofauti utagundua hili. Anajaribu kuwavunja nguvu, moyo watu waaamini kuwa wanachodai hakina tija ni bora kuendelea na kile kilichopo
Tunamjua ndiyo maana hatumpi nafasi kaingia choo cha kike atakimbia mwenyewe, kama ndiye wamemwona anaweza kutuchanganya JF wamekosea kuchagua hajui hata kujenga hoja anakuja na hoja za kulazimisha, kwanza katiba iko kwenye track hawawezi kuizuia bora wangekuja na vifungu fulani wanavyotaka viwemo kuliko kuzuia ujio wa katiba yenyewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom