CUF kuitwa chama cha wananchi

akili huna na unastahili lolote hata matusi nimekupendelea.hujui ni kwa nini abdala safari aliondoka cuf,hujui nani aliysema tufunge mlango tupigane,hujui cuf ilianzishwa kwa malengo gani.
matusi unayahua wewe?ungekuwa hapa karibu ni vibao mpaka akili akukae sawa.
ni pm ili nikutafute nikuweke akili sawa.

Naona napoteza muda kufanya mjadala na mtu mpumbavu kama wewe ambaye huna akili ambaye umejiweka tayari kwa ajili ya ubishi, ushenzi na ugomvi naona niishie hapa nitafute mjadala wa maana na wenye akili kuliko pumbafu mshenzi mkubwa wewe. na bahati yako ungekuwa karibu nami pia ningekuchapa fimbo mpaka uzinduke na uache ushenzi na taasubi za kijahilia. lakini bahati mbaya mijitu kama nyinyi hamna faida katika jamii bora mufilie mbali. Unadhani nani hajui matusi mbwa wewe, kama unataka matusi sema nitakutukana mpaka utie akili umbwa, f***
 
Hiloo kampige vibao mkeo mjinga we. umeshindwa hoja hilo halina akili zobaa
 
Hata CHADEMA ni chama cha maaskofu na viongozi wake ni maaskofu na wanataka kuanzisha serikali ya amri kumi za Mungu Tanzania huku hizo amri kumi wao wenyewe hawazitekelezi kwani viongozi wao wangali wana mahawara mpaka leo.
Nikitoa mchango wangu kwa maneno nahisi nitasababisha uvunjifu wa amani. Tazama hii video utanielwa namaanisha nini Mdau wetu.[video] YouTube Swahili Alamba! - YouTube[/video]
 
[h=2]CHADEMA wakorofishana Jimboni Igunga[/h]
Siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) tayari wamekorofisha kwa kutuhumiana.

Habari za uhakika zilizopatikana kutoka katika chama hicho na kuthibitishwa na baadhi ya viongozi na maafisa wa ngazi ya juu kutoka Makao Makuu jijini Dar es Salaam na Igunga, zinasema ugomvi huo umekuwa ukifukuta polepole na huenda ukalipuka zaidi hapo baadae huku viongozi wa kitaifa wakidaiwa wanafanya mchezo wa "kufunika kombe mwanaharamu apite"

Kukorofishana kwa viongozi wake wa wilaya ya Igunga, na Makao Makuu, kunatokana na kukataliwa kwa sehemu kubwa ya mapendekezo yaliyotolewa na wenyeji huku wageni wakijitawalia mamlaka makubwa ya kuongoza shughuli nzima.

Ugomvi umefika mbali zaidi baada ya CDM Makao Makuu kuendelea kutomuunga mkono mgombea ubunge wa CDM Joseph Kashindye, kwa vile wao walikuwa wakimtaka Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Taifa, Erasto Tumbo, dakika za mwisho alilazimika kuliondoa jina lake.​
 
CHADEMA wakorofishana Jimboni Igunga

Hebu angalia iyo video vizuri kijana utamuona kadhi mkuu hapo.
 
Naona napoteza muda kufanya mjadala na mtu mpumbavu kama wewe ambaye huna akili ambaye umejiweka tayari kwa ajili ya ubishi, ushenzi na ugomvi naona niishie hapa nitafute mjadala wa maana na wenye akili kuliko pumbafu mshenzi mkubwa wewe. na bahati yako ungekuwa karibu nami pia ningekuchapa fimbo mpaka uzinduke na uache ushenzi na taasubi za kijahilia. lakini bahati mbaya mijitu kama nyinyi hamna faida katika jamii bora mufilie mbali. Unadhani nani hajui matusi mbwa wewe, kama unataka matusi sema nitakutukana mpaka utie akili umbwa, f***
kumbe matusi unayo kwenye stock halafu unajifanya kuingilia fani za uandishi wa habari?hapo ndio penyewe panapokufaa si unaona ulivyopendezea matusi na sura yako inavyofanana nayo utafikiri ni pacha wewe na matusi.
ukikimbia utakuwa hujajitendea haki kwani kama si hivyo hayo mayusi ungeyatoa lini na hapo ulipo utakuwa umebakisha mengi jitahidi uyapunguze kwani si mazuri yana weza yakakuletea ugonjwa wa kusahau na kama huamini kamwone daktari.
matusi kama umezoea kutumia mimi si mpenzi sana ila kwa shida nitakushughulikia ila iwe siri mumeo asijue.
 
maneno ya kilutherani hayo tunakujua umesomea wapi na shule gani na tangu zamani ulikuwa mjinga hivyo hivyo. wadanganye wasiokujua
 
Back
Top Bottom