CUF kufanya matembezi JUMAPILI kuchangia Chama.

Status
Not open for further replies.

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
matembezi hayo yataanzia Buguruni malapa na kuishia viwanja vya JANGWANI. Yataongozwa Mkt Prof I. H. Lipumba na katibu mkuu wa chama ambae pia ni Makamu wa kwanza wa SMZ Maalim seif sharif Hamad, wanainchi wote jitokezeni kwa wingi kuchangia chama chenu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom