CUF kinapumulia mashine?

Dangire

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
221
68
Matatizo kwa mtu yeyote, taasisi, nchi nk. ni sehemu ya uhai wake. utofauti unakuja pale mbapo mtu mmoja anapatwa na tatizo na mara hiyo anarespond to it (rightly and effectively). Wakati mtu mwingine hufanya maamuzi late kitu ambacho ni hatari kwa uhai wake. mtu/taasisi/nchi nk. makini huonekana wakati wa matatizo (jinsi anavyolishughulikia kwa usahihi).

Ninashangazwa sana na aukimya wa viongozi wa CUF ilhali boti ingali ikizama....sioni hatua zozote za kimkakati zikichukuliwa kujinusuru. Hivi ni kwa vile m/kiti hakuwepo/ hayupo hapa nchini basi hapana mtu mwingine makini wa kuchukua hatua stahiki? katika hali hii....ni wazi life span yake imefikia ukingoni. watutafute communicologists tuwape mikakati ya kimawasiliano.
 
Mashie ya Kichina CHADEMA ambao wamevamia jiji kwa mshindo wa beni! CUF imekumbwa misukosuko tangu imeanzishwa na wala haikutetereka ije iwe leo!
Kufikiri kunasaidia sana. Umekubali CUF ipo kwenye mashine ya kupumulia lakini sio ya ki-China! may be ni ya ki-Japan lakini hoja inabaki palepale kwamba inapumulia mashine. Eti CUF hawajawai kuteterekana! Kweli huku ni kufa na tai shingoni!! Ina maana upo Zanzibar au wapi Yakhe(Mpemba wa mbishi)?? Au umeamua tu kubisha kulingana na jina lako humu jf????
 
Nadhani kiswahili si lugha yako rasmi kawa walivyo wengi wa Watanganyika na ndio maana umeshindwa kunifahamu nilichokiweka! Wapi nimekiri kama CUF inapumulia mashine?
 
Mashie ya Kichina CHADEMA ambao wamevamia jiji kwa mshindo wa beni! CUF imekumbwa misukosuko tangu imeanzishwa na wala haikutetereka ije iwe leo!
mpemba mbishi umenifurahisha, angalau leo natoka ofisini nikiwa nimecheka na kupunguza stress, kumbe kishindo cha CDM ni mziki mzito mpaka mnachanganyikiwa..? Sasa tusubiri kipumulie mashine ili ndoa ya magamba na akina yakheeee iendelee kuwa ya baraka. Lakini ni wazi ndugu yangu lifespan ya magamba B imefikia ukingoni hakuna wa kuinusuru labda kwa rehema zake Mola.
 
naona viongozi wa cuf musoma mjini na vijijini wameamua kujivua gamba na kukihama chama rasmi,na ofisi za cuf kufungwa rasmi,kweli nimeamini kujiunga na magamba ni tatizo kubwa sana.
source:chanel ten
 
Back
Top Bottom