CUF irked by isles omission on state visitors itineraries

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
By In2EastAfrica - Thu Jun 02, 1:02 pm

Salum-Bimani.jpg

Civic United Front (CUF)'s Publicity Director Salum Bimani also joined Chadema's Dadi Kombo to express concern about the low turnout

When international leaders and heads of state who come to visit Tanzania don't visit Unguja and Pemba Isles, it belittles the status of Zanzibar as a country and undermines the union.
This was said in a statement by Civic United Front's (CUF) director for publicity and mass communication Salum Bimani in the wake of a recent state visit by Indian Prime Minister Manmohan Singh.

According to Bimani, the fact that during his two-day tour of Tanzania the Indian PM never set his feet in the Isles has left many Zanzibaris saddened.

He said Zanzibar enjoys long historical ties with India and, besides, it is part of the union that from the United Republic of Tanzania.

The CUF chief whip argued that when the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation fails to put the Isles on a visiting dignitary's itinerary, it is indicative of yet another shortcoming in the union.

According to him, as a former independent country, Zanzibar should be accorded special status. He said it isn't right to treat the Isles as "just another mainland region, like Mtwara of Kilimanjaro."
"His (Indian Prime Minister's) visit could have opened doors for Zanzibar," said Bimani, accusing the Ministry of Foreign Affairs of relegating the Isles to the sidelines whenever dignitaries visit Tanzania.

He added that on four separate occasions, Zanzibar was left out when a foreign dignitary visited Tanzania, citing the visit by the Chinese president, the Turkish president and that of the former US president George Bush as cases in point.
Source The Guardian
 
Kama Zanzibar ina Rais wake, kwa nini walalamike hiyo ratiba? Hata wenyewe wanaweza ku-arrange ziara ya kiongozi wa Taifa jingine. Serikali ya Zanzibar wanadai kuwa Zanzibar si sehemu ya Tanzania bali nchi kamili iliyoungana na Tanganyika. Sasa kama ni nchi kamili, request visitation kupitia balozi za nchi husika.
 
kwani hawana ubalozi wa India nchini mwao? wamwalike aende kwao. Hv kwann tunawabembeleza hawa jamaa kuwa nao. me natamani waondoke hata kesho.
 
Kama Zanzibar ina Rais wake, kwa nini walalamike hiyo ratiba? Hata wenyewe wanaweza ku-arrange ziara ya kiongozi wa Taifa jingine. Serikali ya Zanzibar wanadai kuwa Zanzibar si sehemu ya Tanzania bali nchi kamili iliyoungana na Tanganyika. Sasa kama ni nchi kamili, request visitation kupitia balozi za nchi husika.
tatizo sio kuwa na raisi zanzibar,ndio mana wazanzbari wanataka wajiunge na umoja wa mataifa ili tupate kuwa international relation moja kwa moja,sasa hivi masuala ya ya relation na nchi za njee yako katika muungano na ndio maana tunatengwa,hili ndio tatizo kubwa la muungano,hata alipokuwa Jeoge BUSH hakufika zanzibar.
 
Nadhani hii haina logic sana. Kwa mfano, Rais Kikwete akifanya State visit United Kingdom ina maana lazima akanyage ardhi ya England, Scotland, Wales, Northern Ireland, na Ilse of man? vinginevyo akitembelea London (ambayo iko London) peke yake basi hawa wengine wataona wamedharuliwa? Hivyo hivyo Rais Kikwete au Mkuu mwingine yeyote wa nchi akifanya state visit marekani lazima atembelee States zote?

Hivi ni viongozi wangapi wametembelea Tanzania lakini huyu Mheshimiwa hajasema chochote. Si yule Sheikh wa Somalia alikuwa hapa juzi juzi tu. Mbona hakukuwa na malalamiko? au ni mambo ya kibakuli zaidi?
 
Kama Zanzibar ina Rais wake, kwa nini walalamike hiyo ratiba? Hata wenyewe wanaweza ku-arrange ziara ya kiongozi wa Taifa jingine. Serikali ya Zanzibar wanadai kuwa Zanzibar si sehemu ya Tanzania bali nchi kamili iliyoungana na Tanganyika. Sasa kama ni nchi kamili, request visitation kupitia balozi za nchi husika.

Naona posting yako imejaa kudaikudai kama vile huna uhakika wanasema nini Wazanzibari?
 
Nadhani hii haina logic sana. Kwa mfano, Rais Kikwete akifanya State visit United Kingdom ina maana lazima akanyage ardhi ya England, Scotland, Wales, Northern Ireland, na Ilse of man? vinginevyo akitembelea London (ambayo iko London) peke yake basi hawa wengine wataona wamedharuliwa? Hivyo hivyo Rais Kikwete au Mkuu mwingine yeyote wa nchi akifanya state visit marekani lazima atembelee States zote?

Hivi ni viongozi wangapi wametembelea Tanzania lakini huyu Mheshimiwa hajasema chochote. Si yule Sheikh wa Somalia alikuwa hapa juzi juzi tu. Mbona hakukuwa na malalamiko? au ni mambo ya kibakuli zaidi?

AH! Mbona huelewi wewe? Elimu yako iko juu ya Uingereza na Marekani tu hivyo hata pasipo na mfanano basi utataja huko. Hebu tupe mlingano kati ya Uingereza na Marekani na ule wa Tanzania.
 
CUF NI DONDANDUGU KWA MUUNGANO, mbaya zaidi wayafanyayo ni kwa maslahi binafsi! Waliopata keki ya nchi wote kimyaaaa! Hasara ya muungano haipo, kuna faida tu! Utasikia maendeleo ya zanzibar yanadumazwa, upuuzi mtupu. Kuna wabunge, rais, na wananchi na rasilimali nyingine za bure kama umeme mnaotumia bila kulipa tanesco!, MNASHINDWA NINI KUPIGA KAZI MPATE MAENDELEO?, AU MPAKA MUWE NA JESHI?

Nasema na nitaendelea kusema, CUF sio chama chenye nia nzuri na nchi hii!, kama ningekua na mamlaka ......
 
AH! Mbona huelewi wewe? Elimu yako iko juu ya Uingereza na Marekani tu hivyo hata pasipo na mfanano basi utataja huko. Hebu tupe mlingano kati ya Uingereza na Marekani na ule wa Tanzania.

Wewe ndio huelewi, mwenzio katoa mfano wa nchi zenye muungano kama zetu umeshindwa kumuelewa na kujibu hoja, Marekani ni muungano wa majimbo vipi JK akiwa na ziara huko lazima atembelee majimbo yote? Kwa msingi huo tengenezeni ziara zenu waalikeni waje huko waondokee huko
 
This Zanzibar affair has started to prick my nerves...we need a new constitution as a matter of urgency. One million or so people can't be all that...........
 
  • Thanks
Reactions: FJM
AH! Mbona huelewi wewe? Elimu yako iko juu ya Uingereza na Marekani tu hivyo hata pasipo na mfanano basi utataja huko. Hebu tupe mlingano kati ya Uingereza na Marekani na ule wa Tanzania.
Hapa si mahala sahihi kwa watu wenye uelewa mdogo kama wako.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom