CUF imchukue Kafulila

Ni ajabu kuona wanachadema mnashabikia Kafulila kufukuzwa uanachama NCCR simply kwa kuwa alitoka Chadema alikoitwa sisimizi na kipenzi chenu Slaa.

Lakini mnasahau:

1. Alihoji Akwilombe - aliondoka na kwenda CCM
2. Alihoji Wangwe - Aliuawa katika ajali
3. Alihoji Kafulila - Aliondoka akaenda NCCR
4. Alihoji Zitto - Anasakamwa ndani ya Chama chake na makuwadi wa Tanzania Daima na Mwanahalisi

Ukijoin dots utajua kuwa kufukuzwa kwa Kafulila kuna mkono wa Chadema ndio maana tunasema potelea mbali aende hata UDP kuliko hivyo hivyo vyama....Mbowe........Mbatia.........Mrema wote kitu kimoja tu.

Ikiwa mtu akihoji mfano matumizi ya pesa ndani ya chama cha upinzani anafukuzwa au kusakamwa kuna haja gani ya kuwa na vyama hivyo. Au ni kusema kumbe bora wale wana CCM wanaoona upuuzi ndani ya chama chao na kujikalia kimya ili wawe salama.

Hakuna aibu kama udikteta ndani ya vyama vya upinzani.
 
Back
Top Bottom