Cuf! Ilikuwa lazima waende ikulu?

Ye Soya

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
237
248
Naamini watz wengi bado wamepigwa na butwaa baada ya watu wa cuf waliounga mkono kwa 100% mswada wa kuunda kamati ya katiba bungeni hivi karibuni wanaenda ikulu kumuona Rais JK. Leo akiongea na magic fm radio asubuhi Mtatilo ambaye ni makamu katibu mkuu cuf bara alisema wameenda ikulu ili mapendekezo yao yawe kwenye mabadiliko ya mswada huo yatakayofanyika ktk bunge la mwezi wa february mwakani. Je, kwa kuwa walijua jk kesha saini huo mswada, isingetosha wakasubiri hoja zao wakazipeleka bungeni? Kulikuwa na umuhimu gani wa kwenda ikulu? Au ndio tuseme wamefata mkumbo wa Cdm? Je kila chama kiende kumuona jk? Nawasilisha wanaJF!
 
Hawa wake za ccm. Walishirikiana na mme wao kupitisha muswada mmbovu wa katiba. Leo wapo ikulu, ni jambo la ajabu sana. Masaburi noma. Itadhihirika tu.
 
Mke anamtetea mumewe alimwambia kazidiwa hoja, vile vile alienda kumuona maana hajamuona muda mrefu na wivu pia ulimshika akaona asije pinduliwa ikabidi aonyeshe yupo.
Mimi nashangaa watu wote wanajua CCM mumeo sasa sijui hadi ujitangaze? CDM hawawezi uke wenza.
Mkuu nadhani umenipata sababu ya CUF kwenda Ikilu.
 
wana nyege awa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom