CUF iko wapi?

CUF ipo na ipo ngangari kinoma ,kwanza tukubaliane kuwa katika CUF hakuna alie juu ya sheria ,Hamadi huyo alietimiliwa juzi ni mmoja kati ya waasisi wa CUF lakini kwa usiri na ujuaji wake leo hii akienda Zenji ni aibu tupu.

CDM (Chama Duni Mitaani) ni Chama kisicho na dira kwani nia na dhamiri yake ya kuleta fujo hapa Tanzania zimejulikana na zinazimwa kwa ustadi mkubwa sana ,mtakuja kushangaa hapo baadae ,msiseme hamkuambiwa.

CUF ipo na hazina ya wanachama wake ipo tena inaongezeka kwa hali ya kutisha ,wanachama ambao wanaamini kabisa kuwa wao ndio wenye Chama na sauti yao ndio ya MWISHO.

Chadema ilikuja na hoja ya kulipua mabomu pale bungeni ,wakajaza majungu hadi serikali na bunge wakawa hawasikilizani ,bahati nzuri au mbaya ykapita ya kupita mambu yakatulizwa na leo hii hatuwasikii CHADEMA kulipua mabomu wala kutega jipya ,hapa nasema wamezimwa vibaya sana.

Chadema walitaka kuisambaratisha nchi kwa kutumia uchaguzi wa Arusha kwa kweli wakasambaratishwa na wengine kuwekwa lockup ,eti wakakusanyana kwenda kituoni maji waliita mee ,nia na lengo lao likazimwa kiurahisi kabisa.

Haya hivi karibuni wamejaribu kuchokonoa katika idara za serikali na kuwashawishi madaktari na walimu wanafunzi ,nalo hilo halikufanikiwa leo limezimwa kiurahisi kabisa kwa kuahidiwa kuwa mambo yatatulizwa.

Sasa angalieni tifu la CUF kule Zanzibar leo hii CUF imo kwenye serikali moja kati ya serikali za MUUNGANO ,mnabaki kubeza eti ndoa ,mmeona eei !
CUF imeshafukuza wanachama wake wakuu akina Mapalala ,Salum Msabah ,Jidawi ambao hawajulikani hata wapo wapi na juzi tu Hamadi ,nae miezi yake mitatu ya kupapatika ikimaliza hiyo haijulikani ataangukia wapi inasemekana NCCR yeye na Zitto.
 
yaani cuf mmeikalia 'nanihii' halafu bado mnatamba? no wonder mzee wenu amenyoa sharubu zake za kambare...ndoa tamu bana.
 
nikiwa na rafiki yangu tunafuatilia kwa makini mjadala wa muswaada wa marekebisho ya katiba bungeni jana, jamaa akaniuliza hivi cuf iko wapi?mbona upinzani ni chadema tu bungeni?.offcourse swali limenifanya nijiulize nini kimewasibu cuf ambacho ndicho kilikuwa chama kikuu cha upinzani?niwaulize wanachama wa cuf kwa nini chama kimefubaa kiasi hiki?naanza kuafikiana na hamad rashid na kina doyo!

katika ndoa wanasema "....na ninyi si wawili tena bali mwili mmoja". Ccm na cuf walifunga ndoa, hivyo si wawili tena bali wamoja; na katika kaya (nyumba) msemaji mkuu ni baba. Hivyo ccm ndiye baba wa hiyo familia yao. Cuf (mke) na ccm(mme).
 
Ndio wanatolewa mochuari tayari kwa safari ya mwisho hapo Tarehe 13,march,2012....maziko yataongozwa na Jaji Agustino Shangwa.....Bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
R.I.P 'Chuki Ubinafsi na Fitna...a.k.a CUF'
nimechungulia tu,napita jamani.
 
[/B]
Mkuu, hapo kwenye bold....naomba usahau hiyo kitu! chadema ni chama makini na kina watu makini sana kuliko chama chochote
kwa sasa....achana na CDM mkuu! hii ni namba nyingine!
Hata hivyo nakumbuka mwaka 95 na 2000 wewe ulikuwa CUF damu kabisa....lakini ghafla mwaka 2005 ukawa mwana ccm' Je kulikoni na wewe?

Mimi nafight cause siyo party..

Bado naamini CUF wako na right cause ndio maana nawaunga mkono,

Chadema hawatakuwa na mvuto siku akiwekwa mkatoliki kule ccm, sahizi wana support kubwa ya wakatoliki; watagawanyika sana come 2015..
 
Hata huko wamekabwa makoo wameishia msikiti wa Mpowora wakiwa hoooi! bin taabani.

Narudia tena kuuliza; Nianze kuleta makombora 'Party' imeanza????? Hii thread ya kisiasa lakini panaletwa mambo ya kimaajabu!! Its is last warning.
 
Kwenye siasa za Tanzania CUF sasa imebaki historia, mme wake (CCM) amemtuliza ndani kimyaaaaa!! Aseme nini tena jamani? Maalim Seif ndio huyo anakula kuku kwa mrija unategemea kuwepo na ngangari tena hapo? CUF kwishiney!!!
 
Mimi nafight cause siyo party..

Bado naamini CUF wako na right cause ndio maana nawaunga mkono,

Chadema hawatakuwa na mvuto siku akiwekwa mkatoliki kule ccm, sahizi wana support kubwa ya wakatoliki; watagawanyika sana come 2015..
Sisi akili zetu siyo za kushikiwa kama zenu na hatuangalii mtu kwa dini yake bali utendaji wake.
 
Yalete mkuu, nimekaa TAHIYATU nayasubiri

Muhammad ni Mtume wa
Mwenyezi Mungu, na Masahaba wake
walio pamoja naye, ni wakali na
wenye nguvu kwa makafiri, na
wanarehemeana na kuoneana
huruma wenyewe kwa wenyewe. Unawaona wakirukuu na kusujudu
sana, wakiomba kwa hivyo thawabu
kubwa kwa Mwenyezi Mungu, na
radhi za kuenea. Alama yao ni
unyenyekevu wao katika nyuso zao
kutokana na kuathirika kwa Sala nyingi. Hiyo ndiyo sifa yao kubwa
katika Taurati. Na sifa yao katika Injili
ni kama mmea ulio chipua ukapata
nguvu, ukageuka kutokana na
udhaifu ukawa mgumu, ukasimama
sawa sawa kwenye shina lake. Ukawafurahisha wakulima kwa
nguvu zake. Basi Waumini ni hali
kadhaalika, ili Mwenyezi Mungu
awakasirishe makafiri kwa nguvu
zao. Mwenyezi Mungu amewaahidi
walio amini na wakatenda mema katika wao maghfira ya kuwafutia
madhambi yao yote, na thawabu
kubwa mno. (Katika Injili ya Marko
4.26-28 imeandikwa: "Ufalme wa
Mungu, mfano wake ni kama mtu
aliyemwaga mbegu juu ya nchi; akawa akilala na kuondoka usiku na
mchana, nayo mbegu ikamea na
kukua, asivyojua yeye. Maana nchi
huzaa wenyewe; kwanza jani, tena
suke, tena ngano pevu katika suke."
Katika Hesabu 16.22 ambacho ni sehemu ya Taurati kwa mujibu wa
Biblia imeandikwa kuwa Musa na
Haruni walisali kwa kusujudu. Humo
inasemwa: "Nao wakapomoka
kifudifudi, wakasema, Ee Mungu..." Na
katika Injili ya Mathayo 26.39 inatajwa pia kuwa Yesu pia alisali kwa
kusujudu: "Akaendelea mbele
kidogo, akaanguka kifulifuli,
akaomba.." Hivyo ndivyo wasalivyo
Waislamu.)
 
Mtu uko Marekani unauliza CUF iko wapi?, sisi huku tunajua iko huko, alikuja nayo Mwenyekiti kumbe na nyie hamuioni? Basi nadhani itakua kwenye mkoba wa Hamad Rashid, Katibu yeye yuko bize kumwandalia chakula Bwana!
 
CIVIC
UNITED
FRONT

eti ndio

CHAMA CHA WANANCHI

Wapemba hawakudanganywa kweli???

(samahani mi sio mtaalam la lugha, ni mtaalam wa namba)
 
Mtu uko Marekani unauliza CUF iko wapi?, sisi huku tunajua iko huko, alikuja nayo Mwenyekiti kumbe na nyie hamuioni? Basi nadhani itakua kwenye mkoba wa Hamad Rashid, Katibu yeye yuko bize kumwandalia chakula Bwana!

Mkuu, kuwa marekani si hoja. Mbona wakati mkapa anawatwanga mlikuwa mnatetewa na wamarekani na waingereza. Hoja ni kwamba chama chako kimepotea, mbona cdm inafahamika mpaka Honolulu?
 
Back
Top Bottom